Enrick Rwezaula
Senior Member
- Aug 17, 2024
- 124
- 127
Ukweli upoje mkuu?Sio kweli
Ukweli upoje mkuu?Sio kweli
Aaah, sasa jina kubwa si kulitengeneza. Haswa wale waliosoma nje kama alibahatika kujichanganyachanganya na watu wa masuala ya tafiti anaweza kutusua, ila pia kujichanganya kwa wenye hizo fursa hapa nchini.Wanasema sio rahisi sana Kama huna jina kubwa
Mfumo huenda ukawa tatizo!Tatizo Nini mkuu?