Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,602
Cheap Politicals for Underdeveloped Countries😄😄.Kuna Ngedere mmoja kasema akipata uongozi atawajengea magorofa wote na kuwapa Cruiser kila mmoja
Cheap Politicals for Underdeveloped Countries😄😄.Kuna Ngedere mmoja kasema akipata uongozi atawajengea magorofa wote na kuwapa Cruiser kila mmoja
Sio kweliHivi mhadhiri wa chuo analipwa shingapi? Nasikia ni around 3million
Na kazi yao ni kubonyeza triger tuAskari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi.
Labda apambane na research abahatike kuokota chochote.
Ndugu zangu mali tutaipata shambani. Ngoja nielekee Kibaigwa nikafyeke pori. Tuonane baada ya mavuno
I mean UniversitySio kweli
Mkulima ana maisha mazuri sana kuliko mwajiriwaMimi ni mkulima tu huku kilosa
Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi.
Labda apambane na research abahatike kuokota chochote.
Ndugu zangu mali tutaipata shambani. Ngoja nielekee Kibaigwa nikafyeke pori. Tuonane baada ya mavuno
KabisaNa kazi yao ni kubonyeza triger tu
Kuna changamoto zake ndogo ndogo lakini kilimo kikikubali utaimba wimbo wa utukufu juu mbinguni na Amani dunianiMkulima ana maisha mazuri sana kuliko mwajiriwa
Ni kweliKuna changamoto zake ndogo ndogo lakini kilimo kikikubali utaimba wimbo wa utukufu juu mbinguni na Amani duniani
Watu wanafikiri ni utani lakini vyuoni Kuna brain drain kubwa. Watu wanachomoka mwisho wa siku tutabaki na Nini?Mtoa mada anahoja
Jamani yale makozi hasa yanayohusisha masomo haya manne (Phy/Chem/biol/maths) ni magumu sana.
waliopita huko watanielewa, watu wanakesha usiku kucha halafu, wale walio faulu vizuri ndio wanafanya hiyo kazi ya kufundisha/ Lecturer ukweli wanastahili Mishahara ya kueleweka au basi wawe na angalau house allowance, transport allowance, ya kueleweka.
Tunapo waacha wawazie au wakimbilie kwenye Siasa tunapoteza watu wazuri wa kutufundishia vijana
HivI; Yule prof mkali sana wa sheria kwa nini asitumike tu huko Chuoni akatunolea vijana badala ya hapo alipo ambapo sio hata fani yake? Naona kama tungenufaika zaidi, ni mtazamo wangu tu!
Wanasema sio rahisi sana Kama huna jina kubwaSasa phd unataka posho kweli?? We pambn na research piga ela achana na posho ukiingia online platform za kufanya research zipo nyingi na wanalipwa in dollars nashangaa serikali yetu inazidi kutengeneza wasomi tegemezi ambao hawawezi kujiongeza nje ya mfumo.
Daktari wa heshimaMadokta Ila ukimuuliza ameandika machapisho mangapi unakuta hana chapisho hata moja
Mahindi tunayatoa wapi?Njoo tupeleke mahindi kongo huku ndio hela ilipo