Faida ya elimu Tanzania iko wapi?

Faida ya elimu Tanzania iko wapi?

Mr. Tutor

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
1,176
Reaction score
2,889
Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi.
Labda apambane na research abahatike kuokota chochote.
Ndugu zangu mali tutaipata shambani. Ngoja nielekee Kibaigwa nikafyeke pori. Tuonane baada ya mavuno
 
badilisha kada kiongozi, kwani umefungiwa hapo?
 
Au basi, lakini tatizo lipo wazi kabisa.
 
Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi.
Labda apambane na research abahatike kuokota chochote.
Ndugu zangu mali tutaipata shambani. Ngoja nielekee Kibaigwa nikafyeke pori. Tuonane baada ya mavuno
Nenda ndurugumi au Manyata, Kibaigwa hakuna mapori...
 
Kuandika ni swala moja lakini kupata fund ya kutake off ndio mziki mwingine
Sasa elimu mwishoe ni kuandika machapisho tu basi ,tunataka impact za moja kwa moja ,wengine hawajui kusoma .
 
Impact inapatikana akifanya research na kupata results.
Sasa fund ya kufanya research ndio shida kubwa. Hivyo maandiko yanabaki bila kufanyiwa kazi
 
Research zip zimeleta impact ,ebu badilikeni tusikie mmegundua kitu fulani🤣🤣
 
Back
Top Bottom