ommylufungo
Member
- May 25, 2017
- 42
- 28
mim naweza kukusaidia kwani ni sales representative wa maxmalipoWadau mupooooo????
Msaada wenu ni muhimu kwangu!!!
mim naweza kukusaidia kwani ni sales representative wa maxmalipoWadau mupooooo????
Msaada wenu ni muhimu kwangu!!!
AsanteSijatumia max malipo or hiyo nyingine kwangu natumia selcom mtaji ni laki 5
Faida yake unaipata papo kwa papo mfano..
Unapouza luku unapata faida ya asilimia 3 kila ufanyapo muamala so ukiuza umeme wa 10000 kwenye balance yako yani float itaongezeka kwa asilimia tatu yani mia 3 kwa hiyo ukiuza umeme wa 100000 unapata 3000 na inaenda hvyo...kwa commision luku ndio ina aslimia kubwa na huduma nyingine zina asilmia chache zaidi mfano vocha ni 1.5 dstv 1 na nyinginezo....uzuri wa hii uwe sehemu kwenye mzunguko wa hela ambapo una hakika itaisha haraka na pia ni kivutio kizuri kama una biashara nyingine unafanya eneo hilo yani ni kama vocha na soda....
Conclusion.
Kwangu biashara ya vocha inalipa kuliko hizi machine ingawa ni vizuri ukawa unavyo vyote sambamba....
Nawasilisha ....
mim naweza kukusaidia kwani ni sales representative wa maxmalipo
Kweli mimi nawachaji 200 ya huduma ndo naona kafaida kidogo kwene luku otherwise ni kupoteza muda.zamani kweli ilikuwa na faidaMimi nilifanya kwa kutumia mashine ya Selcom,kama alivyosema mdau hapo juu uitumie kama kivutio cha biashara nyingine na uwe sehem yenye mzunguko lasivyo faida yake utaona aibu hata kuiangalia,commission zao ni ndogo kiukweli,mi ilinishinda sahivi mashine ipo tu ndani.Hasara; Usipokuwa makini unaweza pata hasara sana tu,mfano ukikosea kuingiza namba ya simu wakati wa kurusha vocha ukamrushia mtu mwingine ndo imekula kwako.
Naomba kama wana chart yao ya commission. Je, malipo ya Serkali kama traffic notification yamekaaje?Mkuu, ukishanunua hyo mashine huwa unaenda tena vodacom, hewatel, tigo, tanesco, dstv n.k ili kuuza bidhaa zao au hawa selcom wanakuunganisha 1 kwa 1?
wakat unaandika huu uzi alikuwa bado hajapata ajira ya sales representativeNdugu angalia huo uzi ni wa lini..
Naomba kama wana chart yao ya commission. Je, malipo ya Serkali kama traffic notification yamekaaje?
View attachment Selcom-Huduma-Commission-Chart-2020.pdf.PDF