Faida na Hasara za Tamko la JPM kwenye jamii.

Bosi siyo kila mwenye kuipata mimba shuleni hana nia ya kusoma.

Kuna wadogo zetu mimba wanazipata bila kupenda hawa nao vipi? Tamko liwasaidie pia.

Kuna mdau pale kaongelea USA.. hawa wanafunzi walijengewa shule zao wakawa wanasoma wenyewe ila mwisho wachache sana walihudhuria hizi shule.

Na kielimu maendeleo yalikuwa hafifu sio kwamba hawana akili ila kutengwa kuliwaathiri. Nwei tunajadili jambo ambalo mwenye mamlaka amekwishalisimika
Bwana Daby nikuambie tuu kwamba hakuna mwanafunzi anayependa kufeli mitihani ya mchujo! Inatokea tuu na itokeapo serikali hailaumiwi! Mzazi huandaa namna ya kumpeleka mwanaye kwenye shule za gharama kama "2nd Chance". Vivyo hivyo ifanyike kwa wanaopata mimba mashuleni.
 
Back
Top Bottom