Acha uchizi wewe...!!! HAJATETEA, amekwambia ujadili negative impact ya ile STATEMENT, na hata kama una positive impact sema. Ila sio kusema jamaa anatetea...!!!Huko ndiko kutetea mimba mashuleni.unajificha nyuma ya madhara.mr eli7 hakuna haki bira wajibu.hatuwezi kuruhusu mimba kw kisingizio cha madhara.hebu fikilia ndg angu Eli7 una watoto 7 nyumbani kwako wa kike woote.na woote wako shule.mkubwa yupo kdto cha 2 wengne wako msingi mkubwa anarudishwa shule na mimba.unaitisha kikao cha familia unamfariji mwanao na kumwambia HAKUNA SHIDA MWANGU.UKIJIFUNGUA UTARUDI SHULE.jee unajenga taswira gn kw hawa mabinti zako wengne.UNAFUNDISHA NINI?
Ndugu nirudie kusema tena. Mtoto akifeli darasa la saba na kuacha kuchaguliwa nini hufanyika?Uhalisia ni kwamba katazo la kutokuwasomesha hawa watoto halitafanya mimba ziishe mashuleni. Mimba zitaendelea kuwepo tu kama kawaida labda idadi ipungue japo sijui.
Kikubwa tutegemee..
1. Utoaji wa mimba mwingi
2. Watoto wa kike kutokusoma maana akishapata mimba na akagoma kutoa wazazi hawana uwezo kilichobaki atabaki nyumbani tu.
3. Tutegemee watoto wasio na future. Mtoto atakayezaliwa na mama aliyenyimwa elimu usitegemee ataandaliwa maisha ya baadae.
Inawezekana kweli mm ni chizi.lkn kila mtu ana uchizi wake lkn chizi mkubwa zaidi ni yule anaetetea mambo ya hovyo.uzinzi uasherati.ulevi anasa na upumbavu woote unaofanana na huo.hauna nafc kw mtu mwenye maadili mema na hofu ya mungu.ukichagua ukahaba iache shule.ukichagua shule uache ukahaba.UKAHABA NA SHULE HAVIWEZI KWENDA PAMOJA.NA HUO NDIO UCHIZI WANGU.NA NDIO UCHIZI WA RAIS WANGU.WEWE MSOMI MWENYE AKILI PIGANIA HUO UTAAHIRA WAKO.Acha uchizi wewe...!!! HAJATETEA, amekwambia ujadili negative impact ya ile STATEMENT, na hata kama una positive impact sema. Ila sio kusema jamaa anatetea...!!!
Inabd ushukuru Mungu. Lakn pia angalia na mazingira yako unayoishi pamoja na changamoto za kimaisha unazokutana nazo. Na wengi yanayowakuta haya NI WATU WA HALI YA CHINI.Wasubiri wamalize shule ,mbona sisi tumeweza kwanini wao wasiweze au achague moja kuzaa au shule acheni kuendekeza ngono zembe bana khaaa
Utasemaje anasa, uzinzi ni upumbavu wakati na WEWE NI ZAO LA UZINZI. HahahahahahahaInawezekana kweli mm ni chizi.lkn kila mtu ana uchizi wake lkn chizi mkubwa zaidi ni yule anaetetea mambo ya hovyo.uzinzi uasherati.ulevi anasa na upumbavu woote unaofanana na huo.hauna nafc kw mtu mwenye maadili mema na hofu ya mungu.ukichagua ukahaba iache shule.ukichagua shule uache ukahaba.UKAHABA NA SHULE HAVIWEZI KWENDA PAMOJA.NA HUO NDIO UCHIZI WANGU.NA NDIO UCHIZI WA RAIS WANGU.WEWE MSOMI MWENYE AKILI PIGANIA HUO UTAAHIRA WAKO.
Wanafunzi wangapi wanapata mimba kwa mwaka? Tujue hio kwanza kabla ya kusema hio 30% itaongezeka mara dufu. Kutoa mimba sio kitu kibaya kulingana na sababu.Tusimjadili JPM please, sio lengo la uzi. Tuangalie impact ya katazo lake kwa jamii yetu, hasa swala la utoaji/uchoropoaji wa mimba.
Three out of ten wamewahi kutoa mimba at least once, hudhani hiyo idadi ni kubwa? Huoni kama inaweza kuongezeka mara dufu?
Na unakuta wengi wanaowapa mimba au wanaotembea na hao watoto ndio hawa hawa wanampinga mheshimiwa kwa kauli yake! Hata humu kuna members wengi tu wanajisifu kutembea na wanafunzi,walimu wanajisifu kutembea na wanafunzi wao, leo hii tunalaumu anaeweka sheria hizi kwa waliopata mimba.Inabd ushukuru Mungu. Lakn pia angalia na mazingira yako unayoishi pamoja na changamoto za kimaisha unazokutana nazo. Na wengi yanayowakuta haya NI WATU WA HALI YA CHINI.
Binafsi sifahamu unapoishi na wala sikufahamu, ila kuna wenzako huko nje wanarubuniwa kwa kulipiwa ada na misaada mingine ya maisha nyumbani kiasi kwamba wanashindwa mpk kukataa wanapoombwa penzi na muda mwngn wanafanya si kwa utashi wao bali ni kwa kutokujua madhara yake, au kwa kuokoa familia ili iendelee kupata misaada.
Kwahyo, SIO WOTE wanaoendekeza hzo ngono zembe, japo wapo pia wanaoendekeza. Ila katika hao WASIOENDEKEZA ngono zembe, tukumbuke pia wapo wanaobakwa na kama mtoto hana ukaribu na wazazi, ananyamaza kwa kumhofia baba au mama. Atlast inakuja kujulikana ana mimba na anabeba siri hiyo mwenyewe kimya kimya.

Hahaha haaa.kumbe machiz tupo madaraja mengi wewe ni kaka angu.Utasemaje anasa, uzinzi ni upumbavu wakati na WEWE NI ZAO LA UZINZI. Hahahahahahaha
Huo ndo ukweli, haiwezekani mmoja afungwe miaka 30 alafu mwingine azae na arudi shule.Acha utetezi wa mambo ya hovyo.hili lifanye kwako wewe na familia yako.wakusanye watoto wako uwaambie kwako mimba ni RUKSA !!mila zetu zibatuzuia.na dini zetu pia zinatuzuia wewe unatushawishi kw kigezo gn??!! Ni upumbavu mkubwa sn.vijana woote wako shule wapigane mimba.wakiume afungwe miaka 30 na shule marufuku.lkn wakike yeye asome.HII HAIWEZEKANI. Kwanza nashauri wafungwe woote kw kuliaibisha taifa na kuitia hasara nchi.
Mmmoja anarudi shule kwa sababu ni mtoto, huyo mwingine ni mtu mzima hivyo 'amebaka' mtoto.Huo ndo ukweli, haiwezekani mmoja afungwe miaka 30 alafu mwingine azae na arudi shule.
GooooooodAbortions will always be there, whether extra marital or intra marital,,,hakuna jamii inayotaka watu wazaliane bila mpango eti tu sijui haki za binadamu na nini sijui.Kwanza ukija darasani kwa my daughter na kifaranga chako namhamisha kabisa shule. Acha wako wazaezae hovyo ili wasitoe mimba.
Mfano wote ni wanafunzi- je inakuwaje?Mmmoja anarudi shule kwa sababu ni mtoto, huyo mwingine ni mtu mzima hivyo 'amebaka' mtoto.
Mcharo siwezi kushawishika kwa hizo hoja mbili kwamba watoto wasisomeshwe kisaDaby Mbona Unatetea Sana Hili Swala La Mimba Kwa Wanafunzi Je huoni Ni Sawa na Kusaport Dhambi ya Uzinzi Na Hauoni wanaume katika Hili wanakandamizwa Yani Mmoja Afungwe Mwingine Asome Real?!!!
Bosi siyo kila mwenye kuipata mimba shuleni hana nia ya kusoma.,
Ndugu nirudie kusema tena. Mtoto akifeli darasa la saba na kuacha kuchaguliwa nini hufanyika?
Ukifeli form four na kushindwa kuchaguliwa serikalini nini hufanyika?
Ukikosa kuchalipiwa mkopo wa elimu ya juu na serikali nini hufanyika?
Katika scenarios zote hapo jukumu huenda kwa mzazi. Vivyo hivyo kwa binti aliyepata mimba shuleni. Serikali inalipia wenye uwezo na nia ya kusoma.