Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,024
Ishini nasi kwa akili.
Kama huna, mwanamke yeyote ni hatari kwako.
I hope watalifanyia kazi hili..sealed!
Ishini nasi kwa akili.
Kama huna, mwanamke yeyote ni hatari kwako.
Hakuna kufanya kazi,
utabaki nyumbani kudeki, nyombo sokoni
na kukuna nazi...
Nimemsemaje hapo? It is a naked truth. .Hapa tu ushamsema, tutaminije Kama huko mtaan humsemi
Ukimdharau mwanamke msomi, hata mwanao wa kike hutaona umuhimu wa kumsomesha
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
na hili ndo tatzo weng hela zao wanazitumia kwa siri mno,,imagine mtu hadi amemaliza kujenga home alikua anaweza kweli kuchangia mahitaji??Mke wa bro wangu kajenga kwao kimya kimya, sasa najiuliza hiyo nyumba ni kwao yaani yeye na wazazi wake, ya watoto wake au yao yeye na mume wake. Wanawake wa dizaini hii ni tatizo kwenye maisha, anakuwa na malengo yake separately.
Kumbe ndio maana hadi leo hujaolewa! Okay now I understand the reason for for you to continue to be single in you're life time.Mwanamke msomi ni msomi tuuu..
Akae nyumbani au afanye kazi,huwezi mlinganisha na darasa la 7B
Ishu ipo kwny utiifu na maadili ya kuishi na mume na familia kwa ujumla,kuna vitu vingi vinaathiri hili,kwanza ni malezi ya alipotoka mwanamke,maadili ya dini,jamii inayomzunguka etc..mwanamke aliepata malezi mazuri atakua mwenye kumtii mumewe na kumsikiliza
Tatizo ni kwamba wanaume Wa Kitanzania wenngi wenu hovyo sanaa,,mnataka mumtawale mwanamke weee,,na pili wanawake sa hvi wameamka Hamna anaetaka kinga mkono maana hela za kupewa zina manyanyaso sana,,unataka mke akienda salun akuombe hela na umpe ukijiskia au akupe game kwanza..wakati akiwa na ki-akiba chake huyo ananyoosha saluni..mnataka mke akae home ili mlambwe miguu kwny kuombwa hela.
Then,vijana Wa zama hizi acheni kupenda slope,mke hata akifanya kazi bado unatakiwa umhudumie yeye na watoto aliokuzalia..ulipe bills,ulipe ada,kodi na yeye fungu lake lipo palepale...sasa nyie mnataka msaidiwe..
Mbona anazaa watoto kwa uchungu na wanachukua u-bin wako?!
Akikusaidia ni ihsani tu anakufanyia ila sio wajibu wake.
Acheni kulia lia,jukumu la kutoa hela ni la mume,mke afanye kazi au laa..
tatzo ndo ilo hamna kisaidiana mwanaume unaachiwa majuku yote akat wote mnafanya kaz na vipato vyenu vinakarbiana hela ya mwenzako huionNyinyi makaka hamna huruma tulisomeshwa na kodi za walala hoi na jamii inatuhitaji tunaweza kubalance majukumu na mkapata chakula cha moto pia.
Haka kaneno nahis mmeo anakoma nako, kwamba hujaona ulivyomsema hapo .Nimemsemaje hapo? It is a naked truth. .
Wewe unaonekana una inferiority complex
I can see you Madam with your PhD but I don't understand why you're still single until now? Are you still looking MR. right?Thank you very, very.much!
umeandika vzr sana,,,itabd nikutafute kabla hujaolewaHaha tubukue tu
1. Mtu mnafanya kazi wawili na mnasupportiana ila still life fu*ks you vizuri tu. Huyo mwanaume wakuprovide 100% na akakupa maisha utakayoridhika nayo kabisa wapo wangapi Tz hii? Majority ni kina average joes, klyn mwenyewe anafanya kazi.
2. Kuna leo na kesho, hiyo nguzo mnayoitegemea ikidondoka ndo watu wanabaki kuwa ombaomba (kuna kufariki, kuna kufukuzwa kazi kuna biashara kuyumba au kufa). Mke amezoea kuletewa, anaanzia wapi kutafuta on her own na hadi aje asimame, familia imeshasuffer vya kutosha
3. Mke amezaliwa na Mungu ameweka purpose ndani ya maisha yake. Kulea peke yake sio kusudi la maisha yake yote. She has dreams to achieve, a purpose to fulfil and a legacy to leave behind
4.. Siku hizi single moms kwenye ndoa wanaongezeka kwa kasi. Wanaume wagumu hao kuhudumia familia, mama ukitegemea kupewa basi tegemea kuua ndoto za watoto wako na watoto wako watateseka hadi basi. Mama fanya kazi, tengeneza kipato, huyo bwana akikamatwa huko nje, wewe endelea tu kutunza familia yako. Mke mwenye akili njema ashanielewa
Nafikiri cha msingi ni kuwa na balance kati ya kazi na familia. Woman; dont drop your dreams for a family, make your family part of your dreams. But at the very same time, don't keep on pursuing your dreams at the expense of your family's welfare.
To each his own though
Haha tubukue tu

mm nilikua kwenye upande wa mtu wa kusaidiana nae kimaisha si unajua watt siku hz wanataka kusoma prv8 skullsSijui mtoa mada yeye mke anamuangalia kwa kigezo gani
May Allah bless Me and You
By nature all women are selfish! Don't expect any contribution from a woman after marriage out of her thing that is found between her two legsna hili ndo tatzo weng hela zao wanazitumia kwa siri mno,,imagine mtu hadi amemaliza kujenga home alikua anaweza kweli kuchangia mahitaji??
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Bila kujali usomi wake au kama hajasoma, binafc nitakaeoa awe radhi kukaa nyumbani na kulea familia, mambo yakuacha mtoto na dada wa kazi binafc hayana nafasi, kama ni kazi bac atafanya baada ya watoto wote mpk yule wa mwisho kuwa amefikisha umri wakwenda shule na sio chini ya miaka mitano.habar yenu wana jf
jana nilivotoka job tukapitia kupasha koo ikazuka mada ya nan wa kuoa mke msom au mama wa nyumban
mimi nikawa nawaza mke msomi ni bora coz ya kusaidiana maisha usawa huu wa magu bt kuna mabro wawili wao wamenizid na washaoa wakanicrush kwa nguvu zote
mmoja yy anajuta kwa nn alioa msomi anaepiga job anacholalamika bill zote za nyumba yy ndo anasimamia hata chakula yy ndo ananua mkewe ni mfanyakaz hachangii kitu zile trh za mwisho wa mwez anakua amepigika vbaya akimuomba mkewe anunue hata chakula kwa wiki moja basi ni maharage na mboga za majani akat yy ni hua manyama nyama jamaa ameuliza sana mshahara wa mke wake anapeleka wap hapewi majibu straight mpaka ashachoka sasa mwez huu jamaa amelipa ada za watt yy mwenyewe mkewe hajui kitu na hata hafatilii yan jamaa anajuta ana wish angeoa mama wa nyumban tu angejua moja yy ndo mtafutaji pekee
mwingne naye ameoa msom anadai mkewe ni kibur kutokana na pesa zake wanafanya kaz benk tofauti yan mke hata akikosea jamaa akiuliza mke anakuja juu anajibu kama vp waachane tu coz hat yy anajua kutafuta so asimtishe jamaa anachoogopa ana mapacha wawili wa mwaka mmoja so hataki kuwap shida watt ila anawish angeoa mke wa nyumban angekua ana full authority tu
wote hao wametuonya usijarbu na wao wanadai wana wenzao wana matatzo kama yao weng mno na hua wanawaonea wivu waliooa wake za nyumban coz hua sio wajeuri
maoni yako vpi ww unaona sawa kuoa mke wa nyumban kwa usawa huu wa magu???
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Mke msomi kasoma anajua manyama nyama yanasababisha cancer na ugonjwa wa moyo, anaamua kupika maharage na mbogamboga za majani kulinda afya, mume analalamika.
Sasa hayo si ndiyo matunda ya usomi?
Unataka msomi naye apike mavitu yaliyojaa cholesterol kama hajasoma?
Weee doubts gani? em ning'ate sikio lol
Jitahidi uwahi lolumeandika vzr sana,,,itabd nikutafute kabla hujaolewa
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Hahaha, umedata.Alwatan we vipi?!, tunaambiwa tum kaangie mume haswaa!, uki bake au kupika simple and healthy tutaambiwa wavivu bure. Chuzi shurti lielee mafuta matupu manake, hapo ndo tuonekane wapishi bora na tunajua kutunza mume mpaka aote kitambi..