Agnessjuma
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 317
- 86
wakati mwengine wakimya si watyu wazuri.
NB. Ni raisi kuwa mkimya kama haujachokozwa.
Nikweli utakuta anapanga kukuekea sumu ,MTU mkimya sio MTU mzur saaana kwakweli
wakati mwengine wakimya si watyu wazuri.
NB. Ni raisi kuwa mkimya kama haujachokozwa.
Asante mkuu kwa mada yako, ila mimi niko kati kwa kati najiamulia nikae kimya au niongee nikiamua kukaa kimya hata ufanyeje sikujibu na nikiamua kuongea utajuta kunifahamu na hata mke wangu anajua niko hivo sitabiriki,ila ukikutana namimi kwa mara ya kwanza utajua kwamba mimi ni mpole.
Mkuu mkikutana watu 2+ wote mkakaa kimya kuna la kujifunza?
Btw good point