President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,527
- 94,008
Naunga mkono hoja.Ili muungano udumu aondolewe Kenya Na Rwanda
Tanzania haiwezi kuungana na Kenya na Rwanda hata siku moja. Ile tume iliyoundwaga kipindi cha kikwete ilipata majibu mujarab. Kenya alikuwa anapush for political federation mahsusi kwa suala la ardhi. They wanted to grab Tz land then we said NO.Ili muungano udumu aondolewe Kenya Na Rwanda
2Naunga mkono hoja.
Tanzania haiwezi kuungana na Kenya na Rwanda hata siku moja. Ile tume iliyoundwaga kipindi cha kikwete ilipata majibu mujarab. Kenya alikuwa anapush for political federation mahsusi kwa suala la ardhi. They wanted to grab Tz land then we said NO.
Mimi nakubaliana nawe kabisaa. Hadi kuna baadhi ya nchi zingine kwa kujichokea na uvivu wa kujituma tuu hawajambo. Hata wakiwa na kila raslimali wao ni kujikokota kama manyumbu mzee. Ni bora wenye kulala wakatandike malazi kwao wasije kudandia migongo ya wachapa kazi. Kibinafsi hata mimi ningependelea hali ibakie hivihivi!. 🤣🏃🏃Masuala ya kijamii
Kwa sasa jamii za Afrika mashariki zinatofautiana sana. Baadhi ya nchi hapa Afrika mashariki zinajiona kwamba zimeendelea kiasi ya kujiona miamba.
Hili jambo linapitishwa kwa wananchi wa jamii hizo kuwafanya wananchi wawe makatili wasiojali wengine.
Kwangu ukiniuliza leo nitasema hasara ni nyingi mno kuliko faida. Bado naadhi ya nchi uongozi unaenda kwa makabila. Na nchi hizo zimewagawa watu katika madaraja. Kwahiyo itakuwa ngumu katika nchi zilizoamua kuwaweka watu wote wawe sawa.
Hawawezi. Kenya ni kama South Africa tu. Both are land ticking bomb soon or later watapigana kwa sababu ya ardhi.Kama wako serious na kuchukua ardhi waanze na ile ya familia ya bwana mkubwa, wachukue na ile ya ma settlers..wakimaliza ndio waje mezani tuongee.
How can you call somebody lazy wakati hajawahi hata kukuomba au kuomba chochote sehemu yoyote!?Mimi nakubaliana nawe kabisaa. Hadi kuna baadhi ya nchi zingine kwa kujichokea na uvivu wa kujituma tuu hawajambo. Hata wakiwa na kila raslimali wao ni kujikokota kama manyumbu mzee. Ni bora wenye kulala wakatandike malazi kwao wasije kudandia migongo ya wachapa kazi. Kibinafsi hata mimi ningependelea hali ibakie hivihivi!. 🤣🏃🏃
Loooolest! You are so predictable. Nilijua utaangukia mtego. Hata mimi naweza dai kile ulichokiandika hapo awali ni zile hadithi za alfu lela ulela mumeaminishwa dhidi ya Kenya. Lakini kwa vile hukuitaja Kenya singekushutumu. Sasa wewe ni kwa kigezo gani unaweza dhibitisha nilimaanisha Tanzania licha ya kuwa sikuitaja?. 🤣🤣How can you call somebody lazy wakati hajawahi hata kukuomba au kuomba chochote sehemu yoyote!?
This is the mentality mnayofumdishwa about Tanzania.
Kwa nini waondolewe?Ili muungano udumu aondolewe Kenya Na Rwanda