Faida na hasara ya vitanda vya chuma

[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] weka square pipe nene kidogo, Achana na hizo za inchi moja
Wapendwa Niko nje ya mada , naomba kujua walimu wa serikali wameshalipwa mshahara wa mwezi huu wa 6?
 
Chaga inabonyeaje, nunua godoro mkuu, tafuta kam 400ks upate godoro mujaranu
 
jambo la maziko katika uislamu ni ibada na ina utaratibu wake, sio jambo la kiakili wala shortage ya kitu fulani huko uarabuni n.k..

uislamu umefundisha maziko ni sanda pekee ndo inahusika popote utakapokuwa duniani..
 
Iwapo hujapata suluhisho, badili godoro!! u-mbao na u-chuma si hoja
 
Juu ya chaga weka marine board

Ova
 
Kipande changu cha mkeka is the best..
1. Kwanza nalala chali, nanyoosha uti wa mgongo,
2. ikitokea nimelibwanda(nimejikojolea usingizini) asubuhi naweza kuufua kabisa na omo ukanukia vizuri
3. Sipati ajali za kuanguka toka kitandani [emoji41]
 
mi naulizia kati ya kitanda cha mbao na cha sofa kipi ni kizuri na kinaendana na hali ya uchumi wa kati
 
Kipande changu cha mkeka is the best..
1. Kwanza nalala chali, nanyoosha uti wa mgongo,
2. ikitokea nimelibwanda(nimejikojolea usingizini) asubuhi naweza kuufua kabisa na omo ukanukia vizuri
3. Sipati ajali za kuanguka toka kitandani [emoji41]
Hilo neno Kulimbwanda nimeliskia kitambo sana leo ndo nakutana nalo tena[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…