Faida na hasara ya vitanda vya chuma

Punguza kushiba sana.

Au badilisha location ya migegedo sometime tumia sofa au chini kwenye carpet.
 
Kitanda cha Chuma hata ukimpatia 'Mwanao' tu hapo nae anakuwa 'Chuma' kweli ila vya Mbao ukimpatia hapo nae anakuwa 'Mdhaifu' kama zilivyo.
 
Cha chuma faida hakiliwi na mchwa,kwichi kwichi haipo, kina space nzuri kudeki unadeki hadi mvunguni,hakuna sehemu ya kijificha kunguni kiviilee. Na ikatokea nyumba umewaka moto wewe unapaka rangi tuu na chaga nyingine kitand kipo.
Hasara;
Cha chuma ni kizito wakati wa kudeki ukisogeza vibaya kinakwangua tylies yako kiko juu juu mtoto akiteleza anavunjika shingo.hasara nyingine wakati wa kugegeda hakina sehemu ya kupachika vidole ili uweke lock ya miguu ili uipige vizuri.
Ni hayo tuu kwa leo.
 
Kama ishu ni hiyo peleka kwa fundi akuuongezee ubao katikati wa kuzuia chaga kubonyea. Bila shaka unatumia kitanda cha ft 6 × 6

Yaani nishapeleka kwa fundi akaweka ubao tatizo baada ya muda ubao nao unashuka (sema ni muda mrefu kama 2yrs ndio niliweka ubao) ingawa umeshuka tena sasa nahitaji solution ya kudumu kitanda hichi ni 6x6
 
Weka ubao ila nao uwekwe miguu.

Una kilo ngapi? Mkeo jee?
Godoro lako nchi ngapi?
 
Yaani nishapeleka kwa fundi akaweka ubao tatizo baada ya muda ubao nao unashuka (sema ni muda mrefu kama 2yrs ndio niliweka ubao) ingawa umeshuka tena sasa nahitaji solution ya kudumu kitanda hichi ni 6x6
Doooh bro una kilogram ngapi!? Hapo kitandani huwa mnakaa kwenye paa mnajitupia kitandani mkitaka kulala ama ni nini!?
 
Tatizo ni ubora was godoro sio kitanda
 
Umemaliza kila kitu
 
Miti yote hii kwanini uhangaike na Furniture za Chuma hata hao wanaotumia furniture za vyuma ni kwa vile tu ya shortage ya mbao maeneo waliopo sasa na sisi tuna iga eti, Ni kama leo Waislamu wanavyozika wapendwa wao bila majeneza wanasahau huo utamuduni ulikuwa kwa waarabu kwa vile kule miti ya mbao ni shida sasa Bongo hapa Mbao kibao utashindwa vipi kumstiri mpendwa wako katika jeneza
 
gharama yake ikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…