Mwenye kuelewa hizi code anifungulieVitanda vya chuma ukiwa shabiki wa rough kama mimi lazima uvichukie. Vinataka uende missionary tu. Sivitaki kabisa
Vitanda vya chuma ukiwa shabiki wa rough kama mimi lazima uvichukie. Vinataka uende missionary tu. Sivitaki kabisa
kitanda kitanda tu punguza purukushani, mechi zingine badili kiwanja na kuota unakimbia pia uache bila hivyo ata cha zege hakitokufaaWadau naandika hapa kutaka kujua changamoto ya vitanda vya chuma (faida au hasara zake) maana hiki kitanda changu cha mbao kina changamoto sana kila mara kinabonyea katikati.
Nabadili chaga baada ya muda kinarudi hivyo hivyo kiasi kwamba imekua kero kubwa na imenisababishia maumivu ya mgongo sasa nataka nibadili style ya kitanda je kuna mwenye uzoefu navyo anijuze tafadhari?
halafu mnakataa tz hamna viwanda.Chaga unazochukua ni nyepesi mzee,
Chuma sijawahi kukielewa, hata hivi vya Ma sofa sivielewi, basi angalau Sehemu kubwa iwe mbao ila full sofa hapana.
Nahitaji mbao, tena cha boks
View attachment 1551496View attachment 1551500
Hivyo vinawafaa watu wafupi aisee.Chaga unazochukua ni nyepesi mzee,
Chuma sijawahi kukielewa, hata hivi vya Ma sofa sivielewi, basi angalau Sehemu kubwa iwe mbao ila full sofa hapana.
Nahitaji mbao, tena cha boks
View attachment 1551496View attachment 1551500
Weka tofali mbili chini mkuu kusapoti chaga. HutajutaWadau naandika hapa kutaka kujua changamoto ya vitanda vya chuma (faida au hasara zake) maana hiki kitanda changu cha mbao kina changamoto sana kila mara kinabonyea katikati.
Nabadili chaga baada ya muda kinarudi hivyo hivyo kiasi kwamba imekua kero kubwa na imenisababishia maumivu ya mgongo sasa nataka nibadili style ya kitanda je kuna mwenye uzoefu navyo anijuze tafadhari?
huwa vinapiga kelele?Vitanda vya chuma ukiwa shabiki wa rough kama mimi lazima uvichukie. Vinataka uende missionary tu. Sivitaki kabisa