Faida na hasara nchi ikiongozwa na jeshi

Faida na hasara nchi ikiongozwa na jeshi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,632
Kulingana na muelekeo wa nchi ulivyokuwa , kuna idadi kubwa ya wananchi wanatamani nchi iongozwe na jeshi.

Lakini swali la msingi kuna faida zipi na hasara ipi nchi ikiwa inaongozwa na jeshi?

Maana hawa ndugu zetu wanajeshi tunajua ni watu wa amri tu mwanzo mwisho.

Wasije tu na wazo vijana wote wakifika miaka 18 lazima waende jeshi kujifunza uzalendo.

Watumishi wote wa uma lazima wapitie jeshini nk 😂😂😂😂😂
 
Hizo sababu zote umetoa hazina maana kujiunga na jesh siyo dhambi sema vijana wa dasilamu bwana mnazingua kuogopa kazi za kiumeni.
 
Back
Top Bottom