Fahari amekuwa mama wetu wa ujinga?

By the way, Mkuu Pascal Mayalla, una mdogo wako mwenye jina linalo anzia na B? Kuna mahali nilimuona na macho yangu yaliniambia mnafanana sana.
Mkuu Tate Mkuu, no, ila s/he could be
maana sisi Wasukuma, wengi wetu wenye ile damu ya Kisukuma ya Chapa ng'ombe, ule uzungu mke mmoja umetushinda, hivyo anaweza kuwa ni mdogo wangu kabisa, nitumie full name, na contacts nimtafute.
P
 
Andiko bora kbs la mwenzi huu naomba rudia tna alichokiandika Kaka Mkubwa P Mayala mie ni moja wanao pitia maumivu na wakt mgumu kwa kujaribu kuhoji au kkumbusha jambo kwenye kujenga nchi Yetu...
IMG-20191223-WA0014.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ule wimbo wa kimanyema wa GERE MAMA una ujumbe murua sana ule wimbo, katikati ya beti zake kuna maneno yanasema fahari eeh. Ndio mama wa ujinga.

Wanawake wa uswazi wana hii hulka... Fahari na kujionesha kuwa mambo safi kabisa..Kumbe ni fukara wa kutupwa huku watoto wakiwa na utapiamlo na makazi duni. Chukulia mfano wanawake hao ukiwakuta kwenye sherehe au starehe. Vitu alivyopigilia.

Dhahabu
Make up
Mavazi
Manukato nk

Ukiachana na vya kukodi na kuazima vingine kajikamua kweli kanunua cash money! Yote hayo ni kujionesha mambo safi kabisa na hana shida ndogondogo. UFAHARI!

Akitoka hapo mfuate uone surprise
Atadandia usafiri hana hata nauli
Nyumbani ni chumba kimoja kibovu
Watoto ni kwashiorkor na utapiamlo
Watoto hawana huduma za msingi
Madeni kila kona nknk

Nina tatizo na waandishi wetu Tanzania. HAWAHOJI ama hawako tayari kuhoji ama pengine hawajui au hawataki KUHOJI.

Wamealikwa kwenye uzinduzi wa Ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino Dodoma... Wanasiasa wakawa wanaisifia kuwa ni Ikulu nzuri na yenye eneo kubwa kuliko Ikulu nyingine zote duniani huku ikilingalishwa na Ikulu za Klemlin, Beijing Uturuki nk.

Come on guys, his is stupidity at high level mnajua! Tunajigamba kuwashinda UFAHARI watu wanaojiweza kwa kila kitu huku wakitusaidia kwenye mengi.

Mmejaribu kuhoji hao wenye maikulu makubwa tunaotaka kushindana nao wako kwenye level gani kimaisha? Kiuchumi?
Huduma za kijamii kwa wananchi wao zikoje?
Lishe
Elimu
Afya
Miundombinu?

Hivi katika wote hao tunaweza kweli kufananisha miji yao yenye Ikulu zao na Dodoma yetu inayotarajiwa kuwa na Ikulu nzuri kuliko zao? 75% ya vitu vitakavyopendezesha hiyo Ikulu vitatoka kwao. Vingine vikiwa ni msaada na mkopo pengine halafu leo hii tunataka kujimwambafy. Seriously?

Tuhoji hata kwa mafumbo ili fahari asiwe mama wa ujinga kwetu sote!!!!!

Jr
Matokeo ya kuongozwa na akili ndogo
 
Mkuu Tate Mkuu, no, ila s/he could be
maana sisi Wasukuma, wengi wetu wenye ile damu ya Kisukuma ya Chapa ng'ombe, ule uzungu mke mmoja umetushinda, hivyo anaweza kuwa ni mdogo wangu kabisa, nitumie full name, na contacts nimtafute.
P

Anaitwa Benedickto! Nikajua ni mdogo wako. Inawezekana ni majina tu ya mwisho yamefanana.
 
Anaitwa Benedickto! Nikajua ni mdogo wako. Inawezekana ni majina tu ya mwisho yamefanana.
Could be ni majina tuu, but pia could be ni ndugu. Kuna wakati nikiwa Dar, nikakutana na kijana copy right na dingi, nikamuuliza jina lake akanitajia jina jingine na ubini mwingine, nikamdadisi zaidi, wazazi wake wako wapi na wanafanya nini, akanieleza kumbe Mzee wangu akiwa RSO, mama yake ndie alikuwa PS wake!. Baasi sikuthubutu hata kuuliza kitu, mimi kimya!. Hivyo huwezi jua.

Thanks.
P
 
Upepo unavuma kusini hakuna namna ya kuulazimisha uelekea kaskazini .pasca ameeleweka hata wale wamapambio trust me wakitoka hapo walipo wanaka pembeni kumteta anyway mazuri tusifu mabaya tuyaache tu wataina wenyewe .
 
Back
Top Bottom