Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,028
- 54,321
Pesa Yako Tunza Mwenyewe Hata Kama Itaonekana UnachelewaUshirika haujawahi kufanikiwa Tanzania.Unachukua hela zako unampelekea mwanamme mwenzako kienyeji enyeji tu.mnawazaje?
Pesa Yako Tunza Mwenyewe Hata Kama Itaonekana UnachelewaUshirika haujawahi kufanikiwa Tanzania.Unachukua hela zako unampelekea mwanamme mwenzako kienyeji enyeji tu.mnawazaje?
Haa HaaKwahiyo tulioweka fedha ndo tumegeuzwa MAKUKU 🙉
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Wazee wa kulima waende hukoHaya Haya Kunekucha Sasa Hivi
Asiye Na Mwana Aeleke Jiwe....m
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
Baadaye Tutona Msululu Wa Malalamika Haa View attachment 1991004
Wapigwe Tu, TumechokaWazee wa kulima waende huko
Ova
Watamimika Huko Hasa Hawa Teachers Ngoja UoneKabisa Acha wapigwe maana hawakomi
Ova