KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,886
- 40,068
Kwanini wanapenda jicho....??
Ila kitu kimoja kanyimwa! Akili..! mende hana akili kabisa anapokuwa kajibanza darini anachowaza ni jinsi ya kulisukuma kabati lenye chakula ili lianguke kimwagike ale chote1.Ni mdudu anayeweza kuishi zaidi ya mwezi bila ya kula chakula chochote.
2.Ni mdudu anayeweza kuishi wiki mbili bila ya kunywa maji.
3.Wakati moyo wa mwanadamu ni mmoja wenye chemba nne mende ana moyo mmoja wenye chemba kumi na tatu.
4.Baadhi ya mende wa kike hawaitaji wanaume kuweza kuzalisha mayai hupandana wao kwa wao na kutaga mayai katika kipindi chote cha maisha yao.
5.Mende ana uwezo wa kukaa kwa zaidi ya dakika 40 bila ya kupumua.
6.Mende ana uwezo wa kuishi zaidi ya wiki mbili akiwa amekatwa kichwa.
7.Ana uwezo wa zaidi ya mara 15 ya binadamu wa kuzuia miale mikali ya nuklia isimdhuru na kubaki hai
8.Mende ni mdudu asiye na mapafu.
9.Ana uwezo wa kuruka maili 3 kwa saa.
Mkuu vipi ugomvi wako na kiba umefikia wapi.......
WanasaganaNamba 4 imenikuna haswaaa!! kumbe mende wanafaidi kiasi hiko daah....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Umekwama hapo nyuma yako ngoja aje autoe!
Sijakuelewa.Namba 4 imenikuna haswaaa!! kumbe mende wanafaidi kiasi hiko daah....
Duh maswali mengine magumuhivi ni mende huyu huyu au ni Mende kama Mende!
Hatari hiyo mm sidhani km kuna MTU hapendi jichoKwanini wanapenda jicho....??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Madume je hayalambani Kama majike namba 5
Inaitwa style asilia style ya KimunguMm napenda Ile staili yao ya kufa inavyosaidia katika kugegedana
Kupenda jicho in haki ya kila mmoja kwa maana jicho ndio kila kituHatari hiyo mm sidhani km kuna MTU hapendi jicho
Hao jamaa pamoja na ndugu zake kwenye class insecta ndio ambao ni the most successful group in animal kingdom..1.Ni mdudu anayeweza kuishi zaidi ya mwezi bila ya kula chakula chochote.
2.Ni mdudu anayeweza kuishi wiki mbili bila ya kunywa maji.
3.Wakati moyo wa mwanadamu ni mmoja wenye chemba nne mende ana moyo mmoja wenye chemba kumi na tatu.
4.Baadhi ya mende wa kike hawaitaji wanaume kuweza kuzalisha mayai hupandana wao kwa wao na kutaga mayai katika kipindi chote cha maisha yao.
5.Mende ana uwezo wa kukaa kwa zaidi ya dakika 40 bila ya kupumua.
6.Mende ana uwezo wa kuishi zaidi ya wiki mbili akiwa amekatwa kichwa.
7.Ana uwezo wa zaidi ya mara 15 ya binadamu wa kuzuia miale mikali ya nuklia isimdhuru na kubaki hai
8.Mende ni mdudu asiye na mapafu.
9.Ana uwezo wa kuruka maili 3 kwa saa.
Mkuu nimecheka..bila ya shaka utakuwa umelelewa mitaa ya Mapipa..pale kumejaa mamendehivi ni mende huyu huyu au ni Mende kama Mende!
Nadhani alikuwa anamanisha kitendo cha perthenocapy..Hii namba nne bado imenichanganya,,kwa hio hao majike wana jinsia zote mbili(hermaphrodite) ?? Au wanapopandana wanacopulate vipi?? Nini kinachoendelea pale wanapopandana?