Wakuu heshima kwenu.
Kwanza poleni na majukumu hapa kuna mashabiki die hard wa Diamond ambao nawapa credit zao na wamekua wakimtetea sana . Nitataja wachache na ni watu makini sana
Chige. Warumi. Evelyn Salt. The Bold, Ruttashobolwa. Faiza Foxy.
Hao ni kwa uchache tu, napenda kuwapa heshima yao kwanza, Iko hivi Ali Kiba amekua akiwatanguliza wenzie mbele kama tai halafu wakijibiwa wanakimbilia kwenye media na sababu kubwa ya hawa watu kwa mfano Wema tunajua ni ex girlfriend wa Diamond hivo kuungana na maadui wa Diamond anahisi anamkomesha ,
Jokate huyu pia ni ex girlfriend ambaye alifunuliwa na Diamond na anatembea na Kiba ambaye anahisi iko siku atamzidi Diamond, Ummy Dimpoz huyu nisiongee sana yeye ni chambo na ndio maana interview yake ya mwisho kaeleza vitu tofauti na vijembe alivyoelezea interview zilizopita ili aonewe huruma
kikubwa cha kukumbuka mwanaume huwezi kulazimisha kumsindikiza mwanaume mwenzio safari ya Marekani na South Africa na safari zote unalazimisha jiulizeni kwa nini ulazimishe wakati hauhusiki? Idriss Sultan huyu ni looser ambaye hua namchukulia kama aliechanganyikiwa na maisha alivamia mji kwa pupa sasa atulie tu ajipange upya au ajiandae kusota maana hana jipya,
kuna mtu alikua anajiita Shilole kiuno kwa akili ya haraka mtakumbuka hiyo account kule instagram ilivokua inamchafua Diamond , sasa ilibidi jamaa anaswe kumbuka alivyokamatwa alihojiwa sana na mengi alieleza na waliokua wanamtuma aliwataja na Ali kiba alitajwa , sasa jiulize mwanaume kujiita shilole kiuno upate pozi kidogo.
Tunakuja kwa Ali kiba mwenyewe na kundi zima la wanamuziki ukiunganisha akina Nuru Mziwanda, Baraka Da princess, Najma, na wengine hao wote wakiongozwa na kiba ni wanamuziki wasio na mafanikio kimuziki kiukweli
wengine humtukana Diamond kwa kuwa kawapita kimafanikio kuanzia namna anavyofanya kazi zake na kua current na huo wivu wao wa wazi hautowadaidia kikubwa wajifunze mbinu za kufanikiwa kwani ni aibu umeimba toka mwaka 2000 halafu Tiffa mtoto wa jana anakuzidi pesa kwenye akaunti inauma lakini wavumilie.