Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,004
- 14,551
Kama ilivyo ada mapenzi ndio Dunia na Dunia haina maana bila mapenzi, narejeq kwa vifijo na ndelemo nyingi katika uga wa mahaba nihabue mapenzi nipenzue.
Huuuui huuui ndivyo waweza kupiga yowe katika anga za 6*6.
Nasema hivi ukiona mwanamke anavidole vya mkononi virefu kuliko mwanaume wake basi tambua jamaa anaogelea na kupapasa hana mdinyo wa maana.
Hali kadhalika ukiona mwanaume Vidole vyake vya mkononi ni vifupi kazidiwa na mwanamke basi tambua uoto wake wa asili ni bamia fupi yaani boobabangida a.k.a kiandunje. mtu mfupi anapaliwa muda wowote.
Ukipata mwanamke mpimishe kiganja chako cha kulia na chake cha kushoto bebesheni kwa kufunikana viganja opposite utajua safari yako ya unahodha wa mtumbwi.
Note. Pia kubwa, midomo mipana, mikono mirefu pia ni vigezo international kujua kina cha natural pond au natural hot swimming pool.
NB: Usiwaze siasa ikiwa huna maokoto.