20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Sawa ukiwa gud niambieTutapanga
Sawa ukiwa gud niambieTutapanga
Si kweli!! Kwa kawaida simba dume anayemiliki familia akishazeeka hunyang'anywa ile family na madume pinzani ambao hawana family na yeye atafukuzwa kwenye familia na kwenda kuishi maisha ya kivyake (solitary )
Kwa speed hiyo basi simba hawezi nikamata nikiwa na bajaji au kwa miguuSimba kofi lake ni kilo50
Simba ni mnyama mwenye aibu kupindukia hawez kukuangalia usoni.
Pride kubwa duniani iko serengeti ina simba karibu 45 wanaishi pamoja.
Simba wakiwa wanakula hawana uchoyo hata simba jirani anaweza kupita hapo na kula bila bughuza.
Simba top speed yake 60-75 kph.
Simba dume hawindi sababu lizito.ukisikia simba kaingia kijijini anakula mifugo ni simba mzee au dhaifu aliefukuzwa na vijana ili aachie familia yake damu moto.simba dume akifika miaka2 anatakiwa akajitegemee aondoke ktk familia kabisa
Kwa kawaida simba madume wanaoishi solitary huwa wanawinda wenyewe lakini wakishafanikiwa kumiliki familia ndo huanza kulindiwa na simba majikeMkuu:
Simba anaye ishi kivyake (solitary) kutokana na uzee anajitegemea vipi, kwa sababu sidhani kama ana uwezo na mbinu za kuwinda, ikizingatiwa ni mara chache kumpata binadamu.
Kwanza shughuli ya simba kumuua tembo si ya kitoto!kwa tembo mkubwa simba wanaogopa hata kumsogelea!simba kumuua tembo kwanza wanatakiwa kuwa wengi,pili huyo tembo awe peke yake!Simba ni hatari anauwa hadi Tembo
OK thanks brother.Si kweli!! Kwa kawaida simba dume anayemiliki familia akishazeeka hunyang'anywa ile family na madume pinzani ambao hawana family na yeye atafukuzwa kwenye familia na kwenda kuishi maisha ya kivyake (solitary )
...Diamond ni simba wa wapi.,mbona analea watoto sio wake?
K/koo msimbaziSamahani huyu simba wa msimbazi yeye asili yake ni wapi
Kila mbabe na mbabe wake.Na Masai naye hatari anaua mpaka Simba!
tehtehteh haaaaaa ndio rah ya jamiiforum hakuna stress,hao ndio simba wa mjiniSasa mbona simba hawa wa msimbazi wako kimdebwedo sana. Hawa ni simba wa wapi?
Hawana tofauti na simba wengine ila kinachowafanya wao kukwea miti ni utofauti wa mazingira. Wao hukwea miti ili waweze kuona kwa uzuri wanyama wakuwawinda kwa sababu hifadhi ya lake manyara maeneo mengi ni forest tofauti na mazingira ya Ngorongoro crater na Serengeti national park ambayo ni tambarare (Plain area ). Sababu nyingine ni kwamba simba wa manyara hukwea miti ili kukwepa usumbufu unaosababishwa na wadudu aina ya tsetse fly ambao huwauma. Ukibahatika kutembelea hifadhi ya Tarangire au manyara utakutanaa na hawa wadudu yaani ni wadogo ila wanauma sanaNa vipi kuhusu utofauti Wa simba wanaopatikana manyara national park na Wa sehemu nyingine? Kwasababu wanauwezo Wa kukwea juu ya miti tofauti na Wa sehemu nyingine.
Sio mmiliki wa mnyama yanga... Manji ni mmiliki halali wa ndalaNasikitika kuwa mdudu Yanga tumemkodisha kwa kipindi cha miaka kumi.....ukitaka kujua habari zake muone ndugu Manji au mkewe au hata mwanawe maana ndio wamiliki halali wa mnyama Yanga......
Hawana tofauti na simba wengine ila kinachowafanya wao kukwea miti ni utofauti wa mazingira. Wao hukwea miti ili waweze kuona kwa uzuri wanyama wakuwawinda kwa sababu hifadhi ya lake manyara maeneo mengi ni forest tofauti na mazingira ya Ngorongoro crater na Serengeti national park ambayo ni tambarare (Plain area ). Sababu nyingine ni kwamba simba wa manyara hukwea miti ili kukwepa usumbufu unaosababishwa na wadudu aina ya tsetse fly ambao huwauma. Ukibahatika kutembelea hifadhi ya Tarangire au manyara utakutanaa na hawa wadudu yaani ni wadogo ila wanauma sana[/QUOT. Nawajua vizuri sana hao wadudu, kuna kaka yangu ni dereva tours aliugua ugonjwa alioupata kutokana na tse tse fly ,I think ni homa ya manjano , tuli hangaika naye sana kwasababu kabla hatukujua ni ugonjwa gani, mpaka tuliposaidiwa na rafiki take mswedish. Kuna Hosp ambayo iko magugu walimtibu baada ya kugundua ugonjwa.
hahahaaaa...Sasa mbona simba hawa wa msimbazi wako kimdebwedo sana. Hawa ni simba wa wapi?