Tena ugali na samaki au mlenda
Huo mlenda sasa...ndio unapikwaje?
Alafu kuna siku kuna dada mmoja alipika sijui mboga inaitwaje ile ni majani ya mboga na karanga kama hivi....ila kwa ushamba wangu ilinishinda kula maana ladha yake sikuipenda.
Tena ugali na samaki au mlenda
waoh asante dada nafanya hyo kaz kesho then naleta rpot.
Kumbe kachor znwekwa sukar
Hatutaki upike, tunataka tuje tukupikie. Uongo mbaya hizo ndude huwa naziona tu bararani hata kula sijawahi