Fahamu namna bora ya kutengeneza Kachori

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,503
2,000
How to make Kachori Recipe
Boil potatoes in a pressure cooker. We will make dough for kachoris by the time potatoes are boiling.

Sift flour and semolina, add salt, baking powder and oil and mix well with hands.

Knead soft dough with lukewarm water (like the one for making chapattis). Cover and keep aside for half an hour.

Peel boiled potatoes and break in small pieces. Heat oil in a small karai (wok). Add cumin seeds in oil. When cumin seeds crackle, add coriander powder, green chili, ginger, salt and potato. Stir fry for 2-3 minutes.

Make lemon sized balls from dough. Place one ball on your palm, flatten with fingers. Gently press the centre of the kachori with your thumb, add 1 to 1 ½ teaspoon of potato filling and seal the ends in shape of a Kachori. Press between palms. Roll gently with a rolling pin. Make all kachoris in this fashion.

Heat oil in a kadai for deep frying. Deep fry kachoris on medium flame. Turn while frying till they turn brown on both sides.
Place kachoris on napkin on a plate. Fry all kachoris. Serve hot kachoris with green and sweet chutney

Daby
 
Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
13,885

Tumia kiswahili ww mama
 
Johhana

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
2,277
2,000
Wakuu habari za muda huu,

Napenda sana kupika kachori mana huwa zina ladha zuri na hata ukiwa huna hamu ya kula unakula.

Lakini tatizo linakuja, kila nikiwa nazipika nikiziweka jikoni zinamegeka megeka, kiasi kwamba mpaka nikimaliza nakuta ni zimesagana mpk aibu, zinakuwa siyo kachori tena, mana zinabaanduka ile rangi vinabaki viazi tupu na vinasagika haswa.

Naomba mnielekeze nakosea wapi? Ilihali nafanya process zote vizuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
15,884
2,000

MAHITAJI/INGREDIENTS
1.Viazi Mbatata Nusu
1/2 Kg Potatoes(Russets)

2.Unga wa Ngano Kikombe Kikubwa 1
1 Mug Plain Flour

3.Mafuta Ya Kupikia Lita 1
1 Litre Cooking Oil

4.Ndimu Kubwa 1
1 Lemon

5.Pilipili za Kuwasha 2
2 Red Chillies

6.Kitunguu Thomu Punje Kubwa 1
1 Garlic Cloves

7.Chumvi Kiasi
Salt to taste

8.Bizari Kijiko Cha Chai 1
1 Tea Spoon Turmeric Powder

9.Maji Kiasi
Water

MAANDALIZI/PREPARATIONS
1.Menya Viazi Mbatata katakata vipande na uvioshe
Peel the potatoes and cut into small pieces and wash them well

2.Weka kwenye sufuria na chumvi na maji kiasi
Keep the pieces in another cooking pot with water and salt

3.Twanga pilipili,kitunguu thomu na chumvi
Grind garlic cloves,chillies and salt

4.Changanya unga,binzari na chumvi kiduchu
In a bowl add plain flour,a pinch of salt and turmeric

5.Weka maji kiasi kisha changanya kwa mkono
Add some water and mix with your hand

6.Hakikisha unapata uji mzito mzito
Make sure you don,t add too much water in order to get heavy wet mixture

7.Kamua ndimu na maji kiduchu weka pembeni
Squeeze the lemon with little amount of water

8.Weka mafuta kwenye karai
Pour the cooking oil into the frying pan

JINSI YA KUPIKA/HOW TO COOK
1.Vichemshe viazi vikiiva mwaga maji
Bring to boil the pot having potatoes when they are done remove water from the pot

2.Virudishe jikoni kwa sekende kadhaa vikauke kabisa
Take the pot back to the stove and let the potatoes to dry completely

3.Ponda viazi vyako hadi viwe unga
Mash the potatoes till becomes powder

5.Weka pilipili ulioitwanga na ndimu kwenye viazi na vichanganye kwa mkono hadi vichanganyike
Add the chilli mixture you grind before,lemon juice and mix with your hand till mixed

6.Chukua mchanganiko wako tengeneza umbo la duara ukubwa uupendao
Take the mashed potatoes make small round balls like lemon in size or any size you prefer

7.Weka mafuta jikoni yapate moto sana
Heat the oil to the maximum

8.Chovya maduara kwenye unga ulioweka binzari
Put some balls into the wet flour mixture

9.Zungusha vizuri kisha tumbukiza kwenye mafuta ya moto
Mix well make sure the balls are covered with flour mixture then add them into frying pan

10.Acha ijishike usiwe na haraka ya kuigeuza
Let it rest for some minute before flip them

11.Ikijishika igeuze upande wa pili
When the cover seemed to be cooked well flip the kachori

12.Ukiona gamba la nje linakuwa gumu zitoe
If the outside cover becomes hard remove from the frying pan

13.Weka kwenye chujio zichuje mafuta
Add the kachori into the sieve

14.Acha zipoe kidogo tayari kwa kula
Let them dry and slightly cool then they are ready to serve

15.Unaweza kula zenyewe au na urojo,mkate,chatne n.k.
You can serve with chatne,urojo,breads or as they are.

Angalizo:Note;
1.Tumia viazi vikavu vyeupe au vya brown ni rahisi kuviponda
Make sure you use Russets potatoes or Yukon Gold Potatoes since they are can be mashed easily

2.Hakikisha viazi vimekauka vizuri kabla hujaviponda
MAke sure the potatoes are well dried before you mash them

3.Mafuta lazima yapate moto vizuri laa sivyo zitavurugika ndani ya karai
Do not fry the Kachori if the oil is not heated enough

4.Hakikisha kachori imezama kwenye mafuta kabisa
Make sure you deep fry them otherwise may break during frying them

Source: Google

Namie siku nikipata chance nitajaribu hii
 
Asante sn mkuu, mie mwenyewe nimejifunza mwnyewe kutoka google uko,lkn kitu kilichotokea ahahahah ni balaa, nilitamani ata kulia. Ila upishi wa keki nilijifunza na ninaweza mara moja, ata siku ya kwanza nilivyopika ilitoka vizuri.
 
Nzotu

Member
Jan 22, 2018
41
225

🙏🏼🙏🏼
 
Rostema

JF-Expert Member
Nov 27, 2018
2,782
2,000
Apa ndo najiuliza mbona Joanah akiulizwa kuhusu mapishi anasema hajui lakini madini yote hayo anayamwaga.

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,766

Imekaaa poa hii ukimaliza kupika shushia na pepsi baridi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
38,952
2,000
Uzi Saved!

Weekend hii na mei mosi nipambane na hili pishi.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom