platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,366
- 11,157
Chatne nimeweka aina 2 shosti....ya nazi kule kwenye badia za dengu na ya embe mbichi kwenye badia za kunde....
Naleta posa kwenu wiki ijayo, usinikatae. Miye ndo 'nimeshakufa' hivyoo.
farkhina mahabuba wanipa hamu ya huba
Unitoe hugahuga hata kama usuhuba
Mwali wajua mapishi toka bara mpaka pwani
Usinitie kapuni nisije pata uchizi.
Wasalaam
Platozoom chapa ng'ombe.
Cc: Fixed Point