KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,570
- 89,213
Huo sio mlo ni mboga hiyo mkuu! Hushibi chochote hapo bila kuweka kitu chochote kizito na hiyo ndo sifa ya mboga😜Muda mwingine unataka kubadilisha mlo mkuu.
Hata chips huwa ni mboga ila hamjui tu!!