Fahamu namna bora ya kutengeneza Kachori

Mbona hutumii unga wa mkate,,,yaani mkate Anika juani ukikauka ule unga ndo baada ya kuchovya kwenye Ute wa yai na unga unachovya Tena kwenye bread crumbs
Mbona naona Youtube wanatumia all purpose wheat flour?

Kwa hiyo inaweza kuwa sababu za kiwa laini saana?
 
Ujakosea sana,usitumie bizari tumia rangi za chakula..viaz visiive sana ,vikawa uji.minapika sana na nazipenda..natumia rangi ya njano,naweka katika ngano
 
Ujakosea sana,usitumie bizari tumia rangi za chakula..viaz visiive sana ,vikawa uji.minapika sana na nazipenda..natumia rangi ya njano,naweka katika ngano
Naomba majina ya rangi unazo tumia....

Kuhusu viazi kuiva kiukweli leo nilijitahidi nilikaa kuvisubiri havikuiva saana.

Ngano unatumia ipi? Ingekuwa vizuri kama ungenipa mahitaji yote na hatua mkuu.

Shukrani.
 
Ukitengeneza balls,unaingiza katika uji wa ngano uwe mzito kidogo,then ndio katika mafuta
 
Ukitengeneza balls,unaingiza katika uji wa ngano uwe mzito kidogo,then ndio katika mafuta
Hili neno balls hili!!😜 Kuanzia leo nikiona mtu anafanya maandalizi ya kachori nakula khona na sio Kona🏃
 
Ukitengeneza balls,unaingiza katika uji wa ngano uwe mzito kidogo,then ndio katika mafuta
Quick question.

Kwa hiyo kinachofanya zinakuwa laini kwa ndani ni nini? Binzari? Uji wa ngano? Au ni nini?

maana ukitaste unakuta ndani laini saana na kama yale maji ya kuchemshia bado yapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom