Bupe ni zawadiNimerudi juu kwenye tafsiri zako nijue Lina maana gani sijaona?
Tuntufye ilooo ndio jina lakeKwenye hiyo orodha kuna jina la mama yangu N***....e
Haya ni majina sio ya kinyakyusa ni majina ya wabungu ni huko huko songwe ni ukoo mkubwaSijawai juaa maana yake niliuliza nikakosa majibu
Uswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Tuna subiri ya kichagaSafi sana
Mwakipesile,Mwalutego,Mwalubyale,Mwakinyusi,AtupakisyeUswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Kwanini Mungu amsamehe?90% ya majina ya kinyakyusa yamekaa kiimani zaidi, kwahiyo jina lolote ukiambiwa maana yake husianisha na Mungu.
Hapo ina maana unisamehe Mungu. Anyways Mwachiluwi hapo bado kuna Umboke, Lusajo, Amanyisye, Tukupilika, Tukusuma, Ulimboka, Alinanuswe, Gwamahala, Nelusigwe
Jina pekee la kinyakyusa kituko nililowahi sikia ni matanga pasi
Kinyakyusa kiandike kama unavyokiongea, wala usipate tabu kwenye u weka u kwenye o weka o pia hatuna bh, mfano obhasyobhepo hapo ungeiandika tu ubasyobepo ♥️Simo olentongolo kale gwagile bhamo muno bhakamanya ekenyakyosa otile obhasyobhepo
Ujakosea kabisa 100%Haya ni majina sio ya kinyakyusa ni majina ya wabungu ni huko huko songwe ni ukoo mkubwa
Tembea kifua mbele, babu yako alimchagulia jina zuri mama akoKwenye hiyo orodha kuna jina la mama yangu N***....e
Nzuriii😂Mwakipesile,Mwalutego,Mwalubyale,Mwakinyusi,Atupakisye
Ndiyo mnavyoandika huko mjini?Naitwa Andengenie
Mbona ume shikilia hapo 😂😂 GWAMAKA USWEGE unaitwa uku ujibu mashtakaKwanini Mungu amsamehe?
Nelosi..... Kwa kiswahili cha kinyakyusa NELU.....Tuntufye ilooo ndio jina lake
🙌😂Kinyakyusa kiandike kama unavyokiongea, wala usipate tabu kwenye u weka u kwenye o weka o pia hatuna bh, mfano obhasyobhepo hapo ungeiandika tu ubasyobepo ♥️
Sawa sawaNelosi..... Kwa kiswahili cha kinyakyusa NELU.....
Kwamba majina yote yanamsifu na kumtukuza Mungu?Vema.Nataka pijo!Uswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Ndio uoni Mungu katupendelea sana mbeyaKwamba majina yote yanamsifu na kumtukuza Mungu?Vema.Nataka pijo!