Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,959
- 11,051
Karibu yote tu 🤣🤣🤣 Bupe kivipi tena?Bupe kama lipi lina kufurahisha?
Karibu yote tu 🤣🤣🤣 Bupe kivipi tena?Bupe kama lipi lina kufurahisha?
Gwamaka mwenye nguvuTwisa ?
Gwamaka?
Mwakingwe?
Mwaisa?
Bupe?
Simo olentongolo kale gwagile bhamo muno bhakamanya ekenyakyosa otile obhasyobhepoKuna jina lako umeliona ee
NdioHivi mpoki ni mnyakyusa?
Nikajua ni mhayaNdio
Mh!Ndio
90% ya majina ya kinyakyusa yamekaa kiimani zaidi, kwahiyo jina lolote ukiambiwa maana yake husianisha na Mungu.Kwanini mtu amwite mwanae unisamehe?
Mzazi wake mmoja wa bukobaNikajua ni mhaya
kwa kutovaa condom au kumwaga nje kupelekea kuzaliwa huyo mtoto😀😀😀Kwanini mtu amwite mwanae unisamehe?
Ndiyo ukweliInakuja kuja hivi!
Kweli kabisaa90% ya majina ya kinyakyusa yamekaa kiimani zaidi, kwahiyo jina lolote ukiambiwa maana yake husianisha na Mungu.
Hapo ina maana unisamehe Mungu. Anyways Mwachiluwi hapo bado kuna Umboke, Lusajo, Amanyisye, Tukupilika, Tukusuma, Ulimboka, Alinanuswe, Gwamahala, Nelusigwe
Jina pekee la kinyakyusa kituko nililowahi sikia ni matanga pasi
Dah 😂😂kwa kutovaa condom au kumwaga nje kupelekea kuzaliwa huyo mtoto😀😀😀
Nimerudi juu kwenye tafsiri zako nijue Lina maana gani sijaona?Dah now nakuita bupe
Iyo yakooNdiyo ukweli
Fanya marekebisho palipo kosewaSimo olentongolo kale gwagile bhamo muno bhakamanya ekenyakyosa otile obhasyobhepo
Kwenye hiyo orodha kuna jina la mama yangu N***....e90% ya majina ya kinyakyusa yamekaa kiimani zaidi, kwahiyo jina lolote ukiambiwa maana yake husianisha na Mungu.