Fahamu kuongea kiingereza kwa miezi mitatu

Fahamu kuongea kiingereza kwa miezi mitatu

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
773
Reaction score
668
EBENEZA Academy Center (E.A.C), inatoa kozi ya kiingereza cha kuongea na kuandika kwa mbinu za kisasa,makini na asili.

Vilevile tunafundisha kusoma watu wasiojua, chekechea kwa watoto wadogo, na ‘tution’ KWA MASOMO YA, HISTORY, KISWAHILI, MATHEMATICS, PHYSICS, ENGLISH, CIVICS, GEOGRAPHY na BIOLOGY Kwa wanafunzi KIDATO CHA I-VI -WANAORUDIA MITIHANI -WALIOKO SHULENI na –QT.

Tupo Kinondoni Manyanya mkabala na mahakama.

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA AU TUMA UJUMBE WhatsApp 0754 89 53 21
simu pekee 0653 25 05 66.
 
Kurudia mitihai ya form six, munafudisha wanafunzi?
 
EBENEZA Academy Center (E.A.C), inatoa kozi ya kiingereza cha kuongea na kuandika kwa mbinu za kisasa,makini na asili.

Vilevile tunafundisha kusoma watu wasiojua, chekechea kwa watoto wadogo, na ‘tution’ KWA MASOMO YA, HISTORY, KISWAHILI, MATHEMATICS, PHYSICS, ENGLISH, CIVICS, GEOGRAPHY na BIOLOGY Kwa wanafunzi KIDATO CHA I-VI -WANAORUDIA MITIHANI -WALIOKO SHULENI na –QT.

Tupo Kinondoni Manyanya mkabala na mahakama.

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA AU TUMA UJUMBE WhatsApp 0754 89 53 21
simu pekee 0653 25 05 66.
Kingereza kwa mbinu za kisasa?Mtawapata wajinga.
 
Asipojua kwa huo muda wenu mnarudisha Ada yake kama kwa Ras Simba?
 
Ras Simba anasema nikishindwa atanirudishia ada yangu, nyie vipi mnarudisha pia?
 
Kiingereza kwa njia ya asili? Itakuwa unafundishwa kilugha
 
Mbinu za asili ndio zipi hizo mkuu?
oooh kumradhi mkuu kwa kukanganywa na neno mbinu za asili... kwa maana nyepesi ni kwamba mwanafunzi wetu atajifunza lugha kama ajifunzavyo mtoto mdogo.
 
Matapeli tu hawa,serikali iwashuhulikie wanawaibia tu wananchi.
kwanza mkuu nikushukuru japo kwa kuandika ulichonacho moyoni, lakini nionyeshe masikitiko yangu makubwa kwa kutuita matapeli japo si kitu kwa nafsi imara... lakini ili kukuondoa hofu nakuomba utembelee kituo chetu ili ujihakikishie uhalali wa elimu tuliyonayo baada ya hapo tutakuonesha namna tunavyofanya kazi halali na jinsi tunavyochangia pato la serikali kwa kulipa kodi. KARIBU.
 
Back
Top Bottom