Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
Habari ndugu zangu hapa jukwaani pia Eid Mubarak.
Natumai umzima wa Afya uku unakula Eid yako vizur kabisa Naam leo nawaleteya kinyamkela nataka ujue kinyamkela ni kitu cha namna gani
Kinyamkela ni nini mzimu wa kizaramo wengine wanasema.
Kinyamkera ni mzimu ambao hutumiwa kwa shuguli kama matambiko kama kuepusha maradhi kuomba mafanikio maishani pia kuimarisha uko, ndugu hukutana na kujuana pia huzalisha upendo ndani yenu nk.
Matambiko haya hufanyika kwa njia mbili yapo matambiko makubwa na madogo madodo mfano
Ukienda kwa wazaramo ukikuta kibanda nje kidog sana apo ndipo kibanda cha kinyamkela apo ndipo matambiko madogo ufanya apo either mtu mmoja akiamua kufanya anafanya apo au family unafanya apo aya ndio madogo madogo
Dogoli la ngoma kupitia mkoba wa kiganga wa jadi apa ndipo unakuta watu kibao wenye Asili moja Dogoli maana yake ngoma
Pia ufanywa katika kibanda cha kinyamkela ambacho ufungwa kwenye mti mkubwa unao itwa mvule aya ndio makubwa zaid
Pia hiki kibanda cha kinyamkela kina mkoba wa Asili ya uganga wa jadi ambao unalisichwa kizazi na kizazi so uwezi kuikimbia Asili endapo imekufata kwer
Twendeni kwa wazaramo tukalikwere lelo 😄😄