Cataliyya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 781
- 371
Hapo pagumu,labda uwe unapika kufuatana na muonekano wa soko kwa siku husika,huku ukitumia gas,mbali na kuwa na friji au freezer.
Sawa mkuu
Hapo pagumu,labda uwe unapika kufuatana na muonekano wa soko kwa siku husika,huku ukitumia gas,mbali na kuwa na friji au freezer.
Kuwa makini sana utawajua binadamu vizuri,ungeweza kusimamia ata mwezi mmoja afu ungejua mapato ya siku basi ungekubaliana nae awe ana kupa kiasi fulani kwa siku nae anachukua chake kabisa
Aiseee niliwahi print t-shirt kwako.
Mkuu hiyo mashine ya kuprint inauzwaje?
I'm the girl from nowhere, the one no one will miss. That's why they choose me.
Ni kweli yule msimamzi sidhani kama ataumia na pesa ya msingi wala pango!Kasema huyo dada anajua yeye atamsimamia swali atamsimamiaje na yeye yuko kazini? mama ntilie tena mpya raha uwepo mwenyewe au da rebecca unaonaje?mimi naona kodi ya miezi 3 ikiisha wanafunga biashara hawa.
Dada samahani,Yeye ndo sababu ya Mimi kutafuta fremu coz namuamini na ni reliable nlikaa nae sana namfaham A to Z esp uchapakazi na uaminifu ni ngumu sana kumuamini mtu nsiemfaham pia reliability ina matter sio Leo umefungua kesho haji umefunga mimi masuala ya kupika sijui mzee au inakuaje hapo nishauri vinginevyo naweza sema ndio kama sio yeye nsingepanga kufungua fremu,Ila nna imani ntakavyokua nafanya nae biashara ntawagundua wengine wachapakazi na waaminifu. So kwa sasa yes yeye ndio chanzo mpaka nimetafuta fremu ni bora nianze naye, ndio nimepewa ushauri humu bt siwezi sema niache kazi nimsimamie mtu nsiemfaham ntakua naruka mkojo nakanyaga mavi
Sawa ila utafanyaje peke yako? Lazima usaidiwe, pia usipotoke waaminifu bado wapo
Nashauri itakuwa vzur uptie faida ya sku yaani baada ya yeye kuuza na kununua tena bidhaa ulizoaanza nazo kipi kinasalia? yaan mkabidhi / wakabithi wakulipe kias kadhaa kwa sku, ambacho kitalipa tena kodi na gharama nyingne na faida ya uwekezaji wako kila la kheri
Wabongo tuna upuuzi wa kujifanya mabosi kipindi tunafungua biashara.....kama wafungua biashara...kaa mwenyew maana jua kuwa hapo umewekeza hela na co mawe....!!kama una kibarua kwakweli tulia kwanza....ila kama waipenda hyo biashara...anza kwa kukaa wew mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa iyo unaamini bila yeye hauwezi fika popote?
Watu wengi humu wamekupa ushauri mzuri sana na wengi wanaonekana wanaongea kupitia experience.
Wengi hatujui MTU unaeenda kumuachia biashara yako anauzoefu gani wa kuendesha hiyo biashara.
Kujua kupika au kuwa mpishi mzuri na kuendesha biashara ya mgahawa ni vitu viwili tofauti.
Kwa biashara ya chakula hiyo formula unayotaka kutumia inafanya kazi ukiwa mzoefu wa iyo biashara lakini kama ni mgeni kuna mianya mingi sana ya pesa kupotea.
Trust but verify.
siwezi sema niache kazi nimsimamie mtu nsiemfaham ntakua naruka mkojo nakanyaga mavi
Ni kweli itazame biashara mwanzoni(mwanzo mgumu) mzunguko halisi, pia baada ya muda flani kuona unachopata ni stahiki? pia inatakiwa uridhie tu kiwe wastani sio kila sku faida itakuwa hyo hyo
Asikwambie mtu biashara ni usimamizi ata umweke ndugu yako kama hauna mda Wa kusimamia ni bora hiyo hela uiweke vinginevyo itateketea yooote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukupata watu sahihi na hukuwasoma kwanza utendaji wao wa kazi ulikurupuka ilibidi uwasome kwanza, yeye kua shangazi yako haimaanishi sio mwizi ilibidi umsome kwanza
Hongera kama inaendelea vizuri
Nilipata watu sahihi kabisa, wapishi wazuri na sikukurupuka, hata huyo shangazi yangu ndie mpishi mkuu, na alikuwa na mghahawa wake mdogo akapata matatizo na kufilisika hivyo hii biashara anaijua vizuri sana, nilitengeneza mfumo mzuri sana wa kuiendesha biashara yangu, na bado ninaifanya huku ninaendelea na shughuli zangu japo eneo nimehama baada ya chuo kuacha kupokea wanafunziHukupata watu sahihi na hukuwasoma kwanza utendaji wao wa kazi ulikurupuka ilibidi uwasome kwanza, yeye kua shangazi yako haimaanishi sio mwizi ilibidi umsome kwanza
Hongera kama inaendelea vizuri
Nashauri itakuwa vzur uptie faida ya sku yaani baada ya yeye kuuza na kununua tena bidhaa ulizoaanza nazo kipi kinasalia? yaan mkabidhi / wakabithi wakulipe kias kadhaa kwa sku, ambacho kitalipa tena kodi na gharama nyingne na faida ya uwekezaji wako kila la kheri