Nimeeleweka nini? Unakubali nini na unakataa nini?na
Naona unatafuta ligi endelea. Nimekuambia umeeleweka,Nimetoka na Fedha mara kibao zaidi ya hiyo elfu kumi na nimedeclare kwa kutamka tu na zimepita mpaka kwenye mashine na zimeonekana na sijapata tatizo wala nini na nikaingia nazo hadi Bongo.Unapoingia ndiyo kipembembe.Nimeshaona mwanafamilia amefungwa miezi 18 tena yeye aliingia nayo toka Bongo na ilikuwa ni fedha ya kulipia ada na hakudeclare na wakampa mvua.Na nakueleza bongo wamekopi na italeta usumbufu na haitakuwa salama. Wasiojulikana wataongezeka.
Hii nzuri sanaMimi nitakuwa nasafirisha dola 9999. Sitaki ugomvi nao .
Kiwango ni hiko siku nyingi ila hii ya kuripoti TRA ni mpya.Miaka yote hii Tanzania ilikuwa haina kiwango hiki? Hatari sana.
Tanzania haikuwa na kiwango miaka yote, kwa sababu ya complications za Muungano.Kiwango ni hiko siku nyingi ila hii ya kuripoti TRA ni mpya.
Nadhani mpumbavu ni wewe usiejielewa kila kitu kubezaHivi ulishawahi kushika dollar wewe? Yaani dollar 10,000 ni bahasha ile ya barua ndogo ukipanga dollar 100, hazijai! Yaani kila kitu mnashabikia! Wapumbavu sana
Ok basi viwango vya nchi nyingine ndio vinefanya nifikiri hata tz ina viwango.Tanzania haikuwa na kiwango miaka yote, kwa sababu ya complications za Muungano.
Kuna article ya Reuters ya April 2016 inaelezea hilo vizuri.
Naona sasa ndiyo wameweza kubadili hili.
Nimeeleweka nini? Unakubali nini na unakataa nini?
Sijaelewa unachosema umeelewa.
Marekani wanakataza kuingiza na kutoa hela zaidi ya $10,000 bila kuzi declare au hawakatazi? Kwa kufuata sheria zao.
Unaweza kujibu swali hili? Kwa kutumia sheria na si habari za uzoefu wako ambao hatuwezi kuuhakikisha kama ni wa kweli au ni story tu umetunga?
Tanzania kulikuwa hakuna regulation kabisa ya kuzuia mtu kuingia au kutoka na hela kiasi chochote nje ya nchi.Licha ya kwamba sheria za Marekani zinataka hivyo, mimi nishawahi kutoka Dar hadi Hartsfield-Jackson nikiwa na zaidi ya dola 10,000 mfukoni na hakuna aliyenisumbua.
Sikusumbuliwa Dar uwanja wa ndege [ingawa benki nilisumbuliwa wakati hela ni zangu...lazima uonyeshe tiketi/ visa/ kadi ya kijani/passport ndo uweze kutoa kiasi kikubwa cha dola] na nilipofika US wala hakuna aliyenisumbua.
Kile kikaratasi unachojaza kabla ndege haijatua hata nilichagua No kwenye kila swali na hakuna aliyesumbuka kunipekua.
Dah umenichekesha sanaMimi nitakuwa nasafirisha dola 9999. Sitaki ugomvi nao .
HahaNitakuwa natoka na 9500
Hii haijakatazwa kusafirisha mikoani nadhani...Aisee.
Kuna kampuni huwa zinanunua mazao vijijini, kampuni hizi Mara nyingi huchukua fedha bank kila asubuhi na kuenda nazo vijijini na huwa ni kiasi kikubwa mathlani 100mil-500mil kazi hii hudumu kwa takribani mwezi 1 hadi miwili. Sasa swali, je watamudu kila siku kwenda TRA?? Muda?
Wizi: watendaji wengi sio waaminifu, ukitoka bank na kwenda TRA hapa huwezi ukawa unazidi kujitengenezea mazingira magumu ya kazi yako....?? Maana naona wazi kabisa kwamba unajitengezea mazingira ya kufuatiliwa na majambazi hapa!!!