Fahamu kiwango cha fedha ambacho ukisafiri nacho lazima utoe taarifa TRA

Fahamu kiwango cha fedha ambacho ukisafiri nacho lazima utoe taarifa TRA

Hela ni zangu TRA Zinawahusu nini?

Katika kuzitafta hawakumkwekea mazingira Safi ya kuzipata kiurahisi nimeaso alafu kamishna wa TRA analeta fyoko fyoko

Uzoefu wangu. Mtu huwa aambiwi amount ya kutoka nayo nje ya nchi yake, bali bu declare kias wakati wa kuingia nchi YEYOTE, wasilete upuuzi, hizo ndo shule? Hayo ndo madawa? Hizo ndo mshahara? Wasilete upuuzi
Kwa nnavyofahamu
FEDHA HALALI KWA MALIPO YA ....
FEDHA ZOTE ZA KITZ ZILIZOCHAPISHWA NA BENKI KUU NI MALI YA SERIKALI. Mambo ya serikali mh!!!!
 
vipi usalama wa taarifa zetu maana isije kutuletea matatizo ya kuporwa fedha na watu wasiojulikana
Tena Bongo watu wanalenheshana kweli hata kwenye mabenki. Kuna mtu wamenpiga risasi a few weeks ago hivihivi.

Mtu anaweza ku hujua tenda ya kulengesha watu hapo airport.

Ndiyo maana nasema muhimu kutuma hela electronically tu. Mfukoni unatembea na $200- 1000 zinatosha.
 
Mimi nitakuwa nasafirisha dola 9999. Sitaki ugomvi nao .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na mambo yenyewe ya watu wasiojulikana siku hizi mimi kama si 9999usd basi mil 22.49tsh TRA wajibebe tu,fuc..
 
Hii nchi imelogwa haswa yani umetoteshwa uchawi,tunasafirishwa na boti mbofu yaani! Kiufupi tushatekwa ila hatujatambua tu.
 
Aisee.
Kuna kampuni huwa zinanunua mazao vijijini, kampuni hizi Mara nyingi huchukua fedha bank kila asubuhi na kuenda nazo vijijini na huwa ni kiasi kikubwa mathlani 100mil-500mil kazi hii hudumu kwa takribani mwezi 1 hadi miwili. Sasa swali, je watamudu kila siku kwenda TRA?? Muda?

Wizi: watendaji wengi sio waaminifu, ukitoka bank na kwenda TRA hapa huwezi ukawa unazidi kujitengenezea mazingira magumu ya kazi yako....?? Maana naona wazi kabisa kwamba unajitengezea mazingira ya kufuatiliwa na majambazi hapa!!!
Soma vizuri habari mkuu.
 
Anakwenda kubadili noti.
Tutazulumiwaje?
Hii nchi zulumati sana!!!
 
Tanzania kulikuwa hakuna regulation kabisa ya kuzuia mtu kuingia au kutoka na hela kiasi chochote nje ya nchi.

Huku Marekani ni basi tu walikuwa hawajakushtukia, wangeweza kukufanyia mbaya.
Wewe endelea kupiga baraza hapa ninatoka na fedha nikiwa marekani kila nikisafiri na ni zaidi ya kiwango hicho na unawaambia nina fedha kiasi gani na hakuna cha kujaza form wala nini,na bongo pamoja na unyang'au wao hamna anayekujua una fedha wao wanakimbilia kuangalia mizigo. hili walilotuletea sasa si salama kwa tunaobeba fedha tunaposafiri kwa tamaa za watu bongo ukijianika tu usalama wako na hicho ulichokibeba ni mashaka matupu.Hii ni post ya mwisho kukujibu kwenye hili.Tukutane kwenye bandiko jingine,Mheshimiwa Al-watan!
 
Wewe endelea kupiga baraza hapa ninatoka na fedha nikiwa marekani kila nikisafiri na ni zaidi ya kiwango hicho na unawaambia nina fedha kiasi gani na hakuna cha kujaza form wala nini,na bongo pamoja na unyang'au wao hamna anayekujua una fedha wao wanakimbilia mizigo kuangalia hili walilotuletea sasa si salama kwa tunaobeba fedha tunaposafiri kwa tamaa za watu bongo ukijianika tu usalama wako na hicho ulichokibeba ni mashaka matupu.Hii ni post ya mwisho kukujibu kwenye hili.Tukutane kwenye bandiko jingine,Mheshimiwa Al-watan!
Watu kama wewe mkishindwa mitihani siwezi kushangaa.

Hujajibu swali uliloulizwa, swali unalojibu hujaulizwa.

Just because you drive 90 miles an hour without being caught on a highway that has a 65 miles an hour speed limit, that does not mean there is no 65 miles an hour speed limit.

You are saying there is no speed limit just because you haven't been caught.

Umeanza kuaga kitambo hapa, hivyo siwezi kushangaa ukizidi kunijibu hata baada ya kuandika "hii ni post ya mwisho kukujibu"
 
Ni kawaida sana.

Marekani ni nchi tajiri sana, lakini hutakiwi kutoka Marekani na fedha zaidi ya USD 10,000 bila kutoa taarifa.

Ukitoka na fedha zaidi bila taarifa unachukuliwa kamaunatorosha fedha na wanaweza kuzitaifisha.

Hukatazwi kuondoka na fedha zaidi,unachotakiwa ni kutoa taarifa, fedha za nani, unatoka nazo kwa sababu gani, zinaenda wapi etc.

Ili kuzuia money laundering and capital flight.

Ni kitu standard.
Hii mim haikuwahi kunikuta, nilitoka na 15,000$.
 
Hii mim haikuwahi kunikuta, nilitoka na 15,000$.
Kwa Tanzania hatukuwa na sheria. Kama kwa Marekani hawakukujua tu, wakijua unaweza kupata matatizo sana kwa sababu sheria zinataka uandikishe kutoa au kuingiza hela zikizidi $10,000.
 
Kwa Tanzania hatukuwa na sheria. Kama kwa Marekani hawakukujua tu, wakijua unaweza kupata matatizo sana kwa sababu sheria zinataka uandikishe kutoa au kuingiza hela zikizidi $10,000.
Miscana yote ile walishindwa kujua kua ninamidola? Na hawakuniuliza.
 
Tena Bongo watu wanalenheshana kweli hata kwenye mabenki. Kuna mtu wamenpiga risasi a few weeks ago hivihivi.

Mtu anaweza ku hujua tenda ya kulengesha watu hapo airport.

Ndiyo maana nasema muhimu kutuma hela electronically tu. Mfukoni unatembea na $200- 1000 zinatosha.
kweli mkuu umeongea point mara nyingi wafanyakazi wa taasisi za fedha ndo hulengesha majambazi kwa wateja waliodraw pesa nyingi
 
Tutoe taarifa kisha tutekwe mbele ya safari hii si sawa, yaani watu watambue flani anakuja na anapesa kadhaa du! Nitasafiri na dola 9995, kwani hizo zitakuwa ziko chini ya kiwango chao.
 
Iko siku mtaambiwa mtu aliyepika nyama wiki nzima akajaze fomu serikali za mitaa.

Poor Tanzania !
 
Wanataka kutuzunguka na kuseti ambush na majambazi live live tu
 
Back
Top Bottom