Fahamu kiwango cha fedha ambacho ukisafiri nacho lazima utoe taarifa TRA

Fahamu kiwango cha fedha ambacho ukisafiri nacho lazima utoe taarifa TRA

Ni hatua ila wamechelewa sana ilibidi iwepo toka zamani
 
Miscana yote ile walishindwa kujua kua ninamidola? Na hawakuniuliza.
Sijui kama scanner zinaweza kuscan dola na kujua una kiasi gani.

Kukuuliza si wajibu wao. Wewe ndiye mwenye wajibu wa kuziandikisha.

Wakikuotea na kukukuta una zaidi ya $10,000 unazipitisha bila kuziandikisha wanaweza kuzitaifisha na kukupa kesi ya "money laundering".
 
Ni kawaida sana.

Marekani ni nchi tajiri sana, lakini hutakiwi kutoka Marekani na fedha zaidi ya USD 10,000 bila kutoa taarifa.

Ukitoka na fedha zaidi bila taarifa unachukuliwa kamaunatorosha fedha na wanaweza kuzitaifisha.

Hukatazwi kuondoka na fedha zaidi,unachotakiwa ni kutoa taarifa, fedha za nani, unatoka nazo kwa sababu gani, zinaenda wapi etc.

Ili kuzuia money laundering and capital flight.

Ni kitu standard.
Uelewa wa watanzania wengi bado mdogo sana, kitu Kama hichi ni kawaida kabisa ila bongo watu wanashangaa na wengine wanapinga kabisa kana kwamba ni kosa

Jana nimeenda Chase Bank kudeposit pesa kwenye account ya rafiki yangu wakagoma, wakasema Kama sijawa enlisted na mwenye account kwamba nitadeposit hawawezi chukua, ikabidi niandike check nideposit Kama check. Naambiwa ndo utaratibu wa Chase sasa US nzima, hawachukui cash Kama haijawekwa na mwenye account. Hii ni ili kuwa na papertrail ya pesa imetoka wapo inaenda wapi

Fikiria hii kitu ipelekwe bongo kama kudeclare pesa tu ni tatizo
 
Ikiwa tu ma teller wanatulia mingo na ata 5m hao TRA tutawamini vipi kama hawatuchoma mbeleni kwa kutoa information kuwa kuna mtu kabeba kiwango hicho? Mimi nafikiri mambo ya pesa paper ni outdate ela inawekwa Electronically na sehemu mingi now wana receive payments kwa Electronic tu
 
Wanaweka vizuizi kupunguza uwezekano wa money laundering.

Wauza madawa ya kulevya, magaidi na wahalifu wengi hutumia money laundering kwenye shughuli zao.
 
Ikiwa tu ma teller wanatulia mingo na ata 5m hao TRA tutawamini vipi kama hawatuchoma mbeleni kwa kutoa information kuwa kuna mtu kabeba kiwango hicho? Mimi nafikiri mambo ya pesa paper ni outdate ela inawekwa Electronically na sehemu mingi now wana receive payments kwa Electronic tu
Mimi nina account Citibank North America. Nikija Bongo nitakachofanya ni kuangalia uwezekano wa kutumia ATMs na ikibidi kutumia benki niende Citibank ya Dar hapo niweze ku access hela zangu directly kama kuna large transactions. I believe that should be possible.

Sasa hapo nitahitaji kubeba hela nyingi kwa sababu gani?
 
Back
Top Bottom