Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Uko level ya ngapi kwanza?
Mkuu kcamp naomba maelekezo kidogo namna ya kuongeza nguvu za injini na giabox, kwani nimeshaiweka katika Mod na inaonekana
naingia gereji, sioni mahali pakuongeza
p/se
 
Uko level ya ngapi kwanza?
nipo level ya 11 (eleven) Puno Peru, kuna Mji mmoja (YANA HUARA) nimepeleka mzigo wamegoma kushusha ngazi ndefu nimeweka V haipandi
Euro Truck nipo level 5 version 1:35 sina wiki tangu nimeingia version hiyo
 
Tafuta mod yenye nguvu kubwa halafu unainstall baadaye utakapo peleka gereji unanunua injini yenye nguvu na tanki kubwa la mafuta unapiga kazi unapata mpunga
 
sasa nimekuelewa km hivyo natakiwa niwe kwenye Level ya 20 au 25 nipate Volvo au Scania 730s
je kuna short cut ya kuruka hizi level maana kila nikInstall version mpya naanza 0
ku Update inakataa
 
Uko level ya ngapi kwanza?
Mkuu kcamp mbona kuna mod zingine naona kama hazina effect
mfano mod ya money nimeweka na kule kwenye game ipo active ( green) ila hizo pesa sizioni mkuu, tatizo linaweza kuwa nini
mod ya fast level iko poaw..
 
sasa nimekuelewa km hivyo natakiwa niwe kwenye Level ya 20 au 25 nipate Volvo au Scania 730s
je kuna short cut ya kuruka hizi level maana kila nikInstall version mpya naanza 0
ku Update inakataa
Sidhani kama kuna haja ya kuwa hiyo level. Mimi nilichofanya baada ya kununua lori langu baada ya kufika kwenye level ya kuruhusiwa kununua gari,ndipo niliamua na kufanya configuration kabisa nikanunua na injini yenye hp kubwa na tenki linakunywa mpaka lita elfu 5 na kitu hivi likijaa. Hapo unapiga safari tu na milima linapanda bila ubishi. Nina puno peru version ya nyuma kidogo (1.31.x). Nilidownload mod ya hp kubwa amabayo utachagua unaponunua. Walao kwa ufupi
 
Kuhusu shortcut ya kuruka level sijui labda wabobezi wanaweza kukupa tricks zaidi. Na kweli kila ukifanya installation lazima ije mwanzo steji za kuanzia ndipo upande juu. Usikate tamaa kama unachezacheza ukipata muda utapanda hizo levo na itafika mahali hata ukigonga adhabu zinapungua siyo kama mwanzo unapoanza. Ila inabidi pia upate certificate ya kuendesha na kubeba mizigo ya aina mbalinbali
 
nipo level ya 11 (eleven) Puno Peru, kuna Mji mmoja (YANA HUARA) nimepeleka mzigo wamegoma kushusha ngazi ndefu nimeweka V haipandi
Euro Truck nipo level 5 version 1:35 sina wiki tangu nimeingia version hiyo
Huo mji na hiyo ngazi nimevipenda sina uhakika kama kwenye version yangu upo maana natumia version ya nyuma kidogo (1.31.xs). Nimetamani nione unashindwa wapi kufikisha huo mzigo
 
Una version ipi ya game? Na money mod uliyo nayo ni sawa na game version? Pia uli extract mod ya money au ulitia zip vile vile?
Mkuu kcamp mbona kuna mod zingine naona kama hazina effect
mfano mod ya money nimeweka na kule kwenye game ipo active ( green) ila hizo pesa sizioni mkuu, tatizo linaweza kuwa nini
mod ya fast level iko poaw..
 
Weka mod ya fast level piga trip zako 3 tu unatka level 25 hapo utakua usha unlock ile mod ya Engines ,utaenda kununua chuma yako mpya kisha unaenda garage unafunga sasa engine yako utakua zipo unlocked...ukifka level za juu pia engene za juu nazo zinakua unlocked una upgrade zako
sasa nimekuelewa km hivyo natakiwa niwe kwenye Level ya 20 au 25 nipate Volvo au Scania 730s
je kuna short cut ya kuruka hizi level maana kila nikInstall version mpya naanza 0
ku Update inakataa
 
Una version ipi ya game? Na money mod uliyo nayo ni sawa na game version? Pia uli extract mod ya money au ulitia zip vile vile?
version 1.35, na hiyo mod ni hii Money_and_Experience_mod_1.35.x.
Sikuextract niliweka hivyohivyo
 
Sidhani kama kuna haja ya kuwa hiyo level. Mimi nilichofanya baada ya kununua lori langu baada ya kufika kwenye level ya kuruhusiwa kununua gari,ndipo niliamua na kufanya configuration kabisa nikanunua na injini yenye hp kubwa na tenki linakunywa mpaka lita elfu 5 na kitu hivi likijaa. Hapo unapiga safari tu na milima linapanda bila ubishi. Nina puno peru version ya nyuma kidogo (1.31.x). Nilidownload mod ya hp kubwa amabayo utachagua unaponunua. Walao kwa ufupi
Kutokana na mod niliyo mpa lazma afike level 25 ku unlock engenes..so kupitia fast level basi trip mbili tu anafika hizo level
 
Back
Top Bottom