Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Na ukishalipia inakuaje yaan inakuaje kuaje
Coz hua tuna download kama mod sasa apo je?
Anakutumia kama file..
Inshort ni kuchangia tuu, so kuuza in search.. Maan kazi ya kutengeneza ni ngumu inahitaj ujuzi ko so mbaya kumchangia kijana anaejishughulisha kuwaletea vitu vizuri.
 
Na ukishalipia inakuaje yaan inakuaje kuaje
Coz hua tuna download kama mod sasa apo je?
kwa kifupi ni hivi
ukihitaji hiyo modfication kwa mfano ni map au bus utakuta kwa chini kaweka namba za mawasiliano either umcheki wahtsapp au umpigie simu then uongee nae,
sasa ukishafanya mazungumzo nae atakupatia maelekezo kuwa ufanye nini ili uipate hiyo mod.
 
Anakutumia kama file..
Inshort ni kuchangia tuu, so kuuza in search.. Maan kazi ya kutengeneza ni ngumu inahitaj ujuzi ko so mbaya kumchangia kijana anaejishughulisha kuwaletea vitu vizuri.
naomba nipigilie msumali hapa

aisee kwa kifupi hizi mod hususa za ramani ukiona mtu anadrive ndinga unaona raha lakini kimbembe alichokutana chomtengenezaji ni hatari.

sasa fikilia unapewa li dude kama hili uanza kuiunganisha njia sijui unaanzia wapi na wala unaishia wapi.

nashauli kama unachochote kile unaweza mchangia dv ili kazi iendelee

na hapo bado kazi kama zote bado zinakusubili mojawapo ni kama hii yaani ukikosea kidogo tu ramani haisomi.

Yan ukikosea ka code kamoja mzigo wote una crash
😁😀😀
 
eh
 
Hivi katashime map ime leak au uliiachia we mwenyew tu?

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Unaweza niambia nifanyaje na mm ni generati zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…