Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,591
- 1,391
ebwana we A.K.A baba laoHii siijui boss
Sie tunacheza euro truck simulator 2
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
ebwana we A.K.A baba laoHii siijui boss
Sie tunacheza euro truck simulator 2
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
NdioRam mpya ya 4gb unawez kuendan na ram 4gb ilyopo kwa pc
OG chif
MUHIMU angalia RAM iliyopo ni DDR gan. ikiwa ni DDR 4 bas chukua DDR4 ikiwa ni DDR3 chukua DDR3OG chif
OG chifMUHIMU angalia RAM iliyopo ni DDR gan. ikiwa ni DDR 4 bas chukua DDR4 ikiwa ni DDR3 chukua DDR3
nakumbukmwaka jana mwezi wa 2 niliwahi kutafut ram yenye ukubwa kama huo nilipo ipata waliniambia tsh 120000 mpya na used 90000. sijui waliniona bwege.Dah wakuu ntafuta DDR4 aise
Aina ya Ram chifHii ni nini mkuu
N ghali na kupatikan co rahic chifnakumbukmwaka jana mwezi wa 2 niliwahi kutafut ram yenye ukubwa kama huo nilipo ipata waliniambia tsh 120000 mpya na used 90000. sijui waliniona bwege.
DDR4 ni zamotonakumbukmwaka jana mwezi wa 2 niliwahi kutafut ram yenye ukubwa kama huo nilipo ipata waliniambia tsh 120000 mpya na used 90000. sijui waliniona bwege.
sasa kama ni hivyo ni bora ufanye manunuzi huko E BAYN ghali na kupatikan co rahic chif
Kweli?. sasa kama ni hivyo jamaa afanye kuagiza njenahisi itakuwa bei rahisi alafu upatikanai ni wa uhakika
Ngoja ncheki chifsasa kama ni hivyo ni bora ufanye manunuzi huko E BAY
Zinabei ila huku wanazipiga sanaKweli?. sasa kama ni hivyo jamaa afanye kuagiza njenahisi itakuwa bei rahisi alafu upatikanai ni wa uhakika
Nenda AliExpres zipo kibao bei poa sana...N ghali na kupatikan co rahic chif
IMAGINE 2GB DDR3 NILIUZIWA 30000.Zinabei ila huku wanazipiga sana
Ila AliExpres 4GB DDR4 unapata ukiwa na elf 38...8GB ddr 4 unapata kwa elf 62 tu
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Dah hapo ungeongeza elf 8 tu ungepta 4gb ddr4 AliExpres..mim electronic hizi sinunui bongo hapa wanapiga sana...mie mpaka USB tu naagiza chinaIMAGINE 2GB DDR3 NILIUZIWA 30000.
Dah hapo ungeongeza elf 8 tu ungepta 4gb ddr4 AliExpres..mim electronic hizi sinunui bongo hapa wanapiga sana...mie mpaka USB tu naagiza china
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app