Jiwe_Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 416
- 806
Ngoja nitumie huu mpangilio wako narudi sasa hv kukupa mrejesho tena.nimeona tatizo lako hapo hiyo lock ni 1.36 na unahitajika kuweka 1.38 lock kama hivi hapa chini
Ngoja nitumie huu mpangilio wako narudi sasa hv kukupa mrejesho tena.nimeona tatizo lako hapo hiyo lock ni 1.36 na unahitajika kuweka 1.38 lock kama hivi hapa chini
hakikisha rock 1.38 file ni lazima liwepoNgoja nitumie huu mpangilio wako narudi sasa hv kukupa mrejesho tena.
Imekubali mkuu tayari nilikuwa natest kidogo ili isije kuniletea mizengwe mbele..Sasa ngoja nikapande milima na mabonde maana Brazil pameshanichosha.hakikisha rock 1.38 file ni lazima liwepo
Kumbe hakua na hii file muhimu kabisahakikisha rock 1.38 file ni lazima liwepo
Haha dah yan adapter yangu imeloga basi nakosa uhondo leounahisi kitu gani kinaendelea hapa
daaah pole sana mkuu si utumie wifiHaha dah yan adapter yangu imeloga basi nakosa uhondo leo
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
SISI TUPOWakuu nimerud
Babu ni charger ya laptop naongelea...sio poadaaah pole sana mkuu si utumie wifi
iv ni kwa nini zinakufa sana hizi vitu maana na mimi nimetoka kununua adapter charger juzi kaz kati
hii kesi ishakuwa solved kipindi kirefu sana. nenda local disk c kisha user ,public kisha public document kisha futa hiyo steam mara zote itakavyo inavyoleta huo ujumbeWadau mashine yangu inazngua kufungua inaniandikia steam has stopped working cjui solution ni nnView attachment 1626910
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha wewe mwamba umenifurahisha sana! Eti una buku hapo?
Yani sjui..sema hii yangu nmekaa nayo sana tangu 2015 nnayo...ila nishapata mpya..so leo mzgon kama kawa...mana chuma nilitelekeza njianiv ni kwa nini zinakufa sana hizi vitu maana na mimi nimetoka kununua adapter charger juzi kaz kati
Benz mbna tushatembea nazo nyuma uko... sema scania ina experience flani tamu sana hasa hizi scania S...zinachanganya fasta sana... na ndan zipo vzr...lakin pia scania ina mods nyingi sanaSijawahi kuona kijana anapost benz humu au ndo mmelogwa na scania na volvo kuanzia kwenye uhalisia mpaka kwenye game?