Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

wale wa online KUANZIA SASA tunaweza kushare mzigo mmja kwa kutumia hii program [ Virtual Speditor ]. # Steam Community :: Chat Invitation #
samahani sana member karibia wiki nilikuwa safarini self drive ndio maana sikuonekana group
changamoto, hizi barabara kuna kipindi nilijisahau nikawa natumia upande wa kulia badala ya kushoto nikidhani nipo Bara la Ulaya na ETS-2
NAONA jioni nitakuwepo kwenye convoy ya kina kata shime officiar
 
daah kumbe ndo maana ulikuwa huonekani kabsa
 
Nimejaribu kudownload tena kwa kuspecify mod ya bus,,lakin nimeinstall pia imegoma..incompartible...lakin wakat na search nilitaja version 1.38..Nisaidieni
 
hahaha:cool::cool::cool: mbona hiyo ishu si ndogo ningelikuelekeza namna ya kuitoa hiyo incomportable lakini ni mrorongo mrefu mno , inaonekana alie design hilo bus kuna vitu hakuvifanyia update so hilo bus likaendelea kukaa kwenye ile ile version..
 
WAKUU NAOMBENI RADHI JAMANI KWA KUWA NI KAMA VILE TUNAPOTEZANA VILE LAKINI SASA TUKO FINAL KUTENGENEZA CONVOY YETU WENYEWE NAOMBA, 💪 💪 💪 NAOMBENI KWA SASA SISI WENYEWE HUMU TUCHAGUE JINA TUTAKALO TUMIA KWENYE KAMPUNI LETU. naomba nikumbushe tuko final tuchague jina gani? WAKUU
 
Attachments

  • Create Company - TrucksBook - Mozilla Firefox 8_12_2020 2_04_51 PM.png
    Create Company - TrucksBook - Mozilla Firefox 8_12_2020 2_04_51 PM.png
    39.4 KB · Views: 2
Nimejaribu kudownload tena kwa kuspecify mod ya bus,,lakin nimeinstall pia imegoma..incompartible...lakin wakat na search nilitaja version 1.38..Nisaidieni
Hebu weka link ya hyo mod
 
Niaje wajuba aise napataje bus nkishaweka file la bus terminal kwenye mods make melitafuta truck dealers ta sioni aise, mwenye idea anisaidie
 
Wakuu hivi hamna namna yoyote ya kucheza hili game online (Multiplayer) bila kununua? Nimejaribu TruckersMP naona inashindikana kuassociate na steam. Kwenye steam nina account na iko public.
 
Back
Top Bottom