Fahamu dalili za mwanamke anapompenda mwanaume

Fahamu dalili za mwanamke anapompenda mwanaume

hayo yalikuwa karne iliyopita saiz ni full usanii... na wengine ni mazoea tu anaweza kukufanyia hivyo kama rafiki tu na hakuna cha zaidi.
 
Mapenzi ya kwenye tamthilia hayo ingia kitaa u experience mwenyewe. U gon kno its all about the gadem money.
Wanawake wenye true love ni very few like 2 out of every 10.
Thanx God my sweet heart loves me true. Lol
 
hayo yalikuwa karne iliyopita saiz ni full usanii... na wengine ni mazoea tu anaweza kukufanyia hivyo kama rafiki tu na hakuna cha zaidi.

Siyo kweli mkuu, huenda hujabahatika!
Mimi ninaye wa kwangu ana sifa zaidi ya tajwa hapo Juu.

Mungu anisaidie isije ikawa maigizo tu.
 
Mapenzi ya kwenye tamthilia hayo ingia kitaa u experience mwenyewe. U gon kno its all about the gadem money.
Wanawake wenye true love ni very few like 2 out of every 10.
Thanx God my sweet heart loves me true. Lol
its bcoz u pay her billz, sucker
 
Siyo vyura wa sasa hasa wa Dsm ni pesa TU...yote hayo ni enzi za mababu na mabibi zetu na siyo karne ya 21 hii.
Na wanauwezo wa kuigiza yote hayo uliyasema ili tu akinyake uisome namba sasa hasa ukiwa una salio,usipime na kubonyeza man.
La msingi pendo na penzi la kweli hasa kwa mnaotaka kuoa ni kupiga goti TU maana hakuna cha nini wala cha nini next tafuta pesa TU kwishneri umemaliza.
 
Back
Top Bottom