britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,062
- 47,020
Kwahiyo umeziweka hapa wazisome waanze kuzi act?
Kama wewe kwangukuna binti unamtamani tamani anamambo hayo???...kuwa makini wengine ni hulka zao usijitie matumaini
Njoo pmTupe na za wanaume tujue...
Hehewizi mtupu
Ukiwa na hela dalili zote izo utaziona.
Wao madada mapaka shumenawewe je wafanyaga hivyo?
Mbona.mgunoMMMMH
Kina carros umekula SanaHiyo ni kweli aisee...nimekula mabeki tatu kwa style hizo na nilikuwa fasta kuwagundua wanapo fall for me...
Sio Carros tu mpaka akina Cafu,Luis Nani na wengine wengi.Kina carros umekula Sana