Fahamu athari ya jina lako katika mapenzi

Habarini wana jf,
Kumekuwa na matatizo mengi sana katika mahusiano yetu ya kila siku, hasa ya kamapenzi na hata kijamii(na wenzetu).

Mahusiano hayakai,watu kila siku wanasalitiana,na hata wengine kuchukiana bila sababu.

Wengi wamekuwa na majibu yanayofanana huku wengine wakifika mbali kwa kusema kuwa huwezi pendwa au kumpenda mtu pasipo matumizi ya fedha.

Lakini ki uhalisia fedha inanafasi ndogo sana tena ndogo mno katika mapenzi

Sababu ya mapenzi kudumu au kupendana baina ya fulani na fulani ni uwiano wa majina

Najua utastuka lakini huo ndo ukweli halisi, majina yanachukua nafasi kubwa sana katika kudumisha na hata furaha katika mapenzi iwe kwa wapenzi wetu na hata wengine wanao tuzunguka na hata pia wale tunaotaka kufanya nao biashara,

Endapo hakutakuwa na uwiano sahihi wa majina yenu basi uhusiano wenu kamwe hautadumu na hata ukidumu hautakuwa na furaha hivyo hivyo hata katika biashara yenu pia,

Endapo utafanya biashara na mtu ambae hamna uwiano katika majina yenu ni ngumu sana kufanikiwa na hata mkifanikiwa biashara yenu itaandamwa sana na matatizo mpka pale mtapofilisika.

UTAJUAJE UWIANO WA MAJINA YENU,
Elimu hii ya uwiano wa majina ilikuwa ikitumika sana na wazee wetu na ndio elimu hii hii inayotumika kuwaliza watu kwa kuwatoza gharama kubwa ili wasaidiwe

Endapo unataka kuanzisha mahusiano ya kimapenzi, kirafiki na hata kibiashara na mtu, kiuwiano unatakiwa muwe mmezidiana herufi saba au zaidi mfano jerry na rachel wanaweza kuwa wapenzi na kudumu na hata kibiashara lakini jerry na mary hawawezi kuwa wapenzi wala kushirikiana katika biashara na hata wakiwa wapenzi hawawezi kudumu wala kuwa na mahusiano ya furaha.

Kanuni hii pia unaweza kuitumia au hata kuithibitisha endapo unataka kupima mapenzi ya watu wawili au kutaka kujua nani anakupenda zaidi kwa kuangalia herufi za mwanzo za majina yao

Yule ambae herufi yake ya kwanza ya jina lake na lako zimezidiana (zimepishana herufi saba au zaidi) na herufi yko ya kwanza jua huyo ndo mwenye mapenzi na wewe zaidi kushinda mwengine na hivyo hivyo kwenye kutafuta mpenzi
Mkuu nijibu plz I III..mimi E,nlionao ni A,R
 
Samahani mtabiri, vipi kwa majina haya: Elizabeth na Grayson au Eva na Peter?
 
hapo kwa wliza na grayson mkuu hakuna mapenzi mkuu ila kwa eva na peter mapenzi yapo na watadumu kwani eva anamapenzi zaidi na ya dhati kwa mwenzie
 
Habarini wana jf,
Kumekuwa na matatizo mengi sana katika mahusiano yetu ya kila siku, hasa ya kamapenzi na hata kijamii(na wenzetu).

Mahusiano hayakai,watu kila siku wanasalitiana,na hata wengine kuchukiana bila sababu.

Wengi wamekuwa na majibu yanayofanana huku wengine wakifika mbali kwa kusema kuwa huwezi pendwa au kumpenda mtu pasipo matumizi ya fedha.

Lakini ki uhalisia fedha inanafasi ndogo sana tena ndogo mno katika mapenzi

Sababu ya mapenzi kudumu au kupendana baina ya fulani na fulani ni uwiano wa majina

Najua utastuka lakini huo ndo ukweli halisi, majina yanachukua nafasi kubwa sana katika kudumisha na hata furaha katika mapenzi iwe kwa wapenzi wetu na hata wengine wanao tuzunguka na hata pia wale tunaotaka kufanya nao biashara,

Endapo hakutakuwa na uwiano sahihi wa majina yenu basi uhusiano wenu kamwe hautadumu na hata ukidumu hautakuwa na furaha hivyo hivyo hata katika biashara yenu pia,

Endapo utafanya biashara na mtu ambae hamna uwiano katika majina yenu ni ngumu sana kufanikiwa na hata mkifanikiwa biashara yenu itaandamwa sana na matatizo mpka pale mtapofilisika.

UTAJUAJE UWIANO WA MAJINA YENU,
Elimu hii ya uwiano wa majina ilikuwa ikitumika sana na wazee wetu na ndio elimu hii hii inayotumika kuwaliza watu kwa kuwatoza gharama kubwa ili wasaidiwe

Endapo unataka kuanzisha mahusiano ya kimapenzi, kirafiki na hata kibiashara na mtu, kiuwiano unatakiwa muwe mmezidiana herufi saba au zaidi mfano jerry na rachel wanaweza kuwa wapenzi na kudumu na hata kibiashara lakini jerry na mary hawawezi kuwa wapenzi wala kushirikiana katika biashara na hata wakiwa wapenzi hawawezi kudumu wala kuwa na mahusiano ya furaha.

Kanuni hii pia unaweza kuitumia au hata kuithibitisha endapo unataka kupima mapenzi ya watu wawili au kutaka kujua nani anakupenda zaidi kwa kuangalia herufi za mwanzo za majina yao

Yule ambae herufi yake ya kwanza ya jina lake na lako zimezidiana (zimepishana herufi saba au zaidi) na herufi yko ya kwanza jua huyo ndo mwenye mapenzi na wewe zaidi kushinda mwengine na hivyo hivyo kwenye kutafuta mpenzi

Wazee wengi hawakujua kusoma na kuandika huo uwiano waliujuaje?
 
maelezo yako butu! ongea kwa mfano, Wema vs Abduli , au Hamis Vs Fatima, PIA UNATAKIWA UELEZE JE Majina yenye kiswahili na kiingereza yanatambuliwaje kwenye formula yako mfano, Fatima>Fetty , Khamisi etc
Hizo ni fikra finyu mno ingekuwa nikweli Nasibu na Wema wasingeachana au Nasibu na zarina je Ivan na Zari mbona huko kote pumba tuu na majina na majina yao yamepishana zaidi ya herufi 7
 
Back
Top Bottom