Fahamu aina kuu mbili za Madeni

Sijawahi kupata ushauri kutoka kwa mtu yeyote wa karibu yangu kuhusu madeni mazuri, wote wananiambia ogopa mikopo kama ukoma, iwe bank au uchochoroni...madeni mazuri nimeyasikia leo!
 
Japo atakuwa amejisaidia kuepukana na Bei kubwa kwa wakati ujao, lakini deni hilo litabaki kusimamia kwenye upande wa deni baya(Hii ni kwamjubi wa hoja hapo juu).

Sababu ni kwamba deni atalipa nje ya alicho zalisha kutoka kwenye deni lake.
Kwa mtazamo wangu kama una nyumba moja ukaenda kukopea benki hilo ni deni baya.lakini kama ni mtumishi nimekopa benki nikajenga nyumba nakatwa deni kwenye mshahara baada ya miaka sita likaisha hilo ni deni zuri kabisa.madeni mabaya ni haya kwenye bar au mikopo ya mtaa kwa riba.Tena benki zilipashwa kuhimiza watu kukopa mikopo ya nyumba za bei nafuu kuanzia Tsh 35ml hadi 50ml.
 
Sijawahi kupata ushauri kutoka kwa mtu yeyote wa karibu yangu kuhusu madeni mazuri, wote wananiambia ogopa mikopo kama ukoma, iwe bank au uchochoroni...madeni mazuri nimeyasikia leo!
Amini madeni mazuri yapo (Hapa naongelea mikopo).
Sababu endapo ukikopa na mkopo huo kuuweka kwenye mzunguko hapo unaweza fanya uzalishaji wa kiwango cha juu.
 
Kwa mtazamo wangu kama una nyumba moja ukaenda kukopea benki hilo ni deni baya.lakini kama ni mtumishi nimekopa benki nikajenga nyumba nakatwa deni kwenye mshahara baada ya miaka sita likaisha hilo ni deni zuri kabisa.madeni mabaya ni haya kwenye bar au mikopo ya mtaa kwa riba.Tena benki zilipashwa kuhimiza watu kukopa mikopo ya nyumba za bei nafuu kuanzia Tsh 35ml hadi 50ml.
Asante kwa nyongeza hiyo mkuu
 
Back
Top Bottom