Fahali ya macho haifilisi duka!

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
8,169
Reaction score
3,360
Wana JF kweli nimelazimika kupost picha ya hii ya Jenipher Lopez baada ya kuona imetulia na kwa wale mafisi maji wenzangu unaweza omba udondokewe na ngekewa hiyo! Mwisho uzuri wa mwanamke upo machoni pa mtazamaji jamani.
 
Mchina na Gym hio mwanangu hicho sio kitu natural kama cha hapa Africa hilo tango pori hilo
 
Wamekula sana hiyo wenye nafasi nae,used sana hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…