Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 486
- 606
๐ง๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ ๐น๐ฎ ๐๐ฎ๐น๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ถ๐ฎ
Lakini katika kuitumia kulitokea haja ya kuirekebisha. Watu wa kale waliikalia chini kalenda yao. Katika kuirejea ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ด๐๐ป๐ฑ๐๐ฎ ๐บ๐๐๐ต๐ธ๐ฒ๐น๐ถ ๐ณ๐๐น๐ฎ๐ป๐ถ. Waliona kulishafanyika makosa ya miaka ๐บ๐ถ๐ป๐ป๐ฒ ๐ฎ๐ ๐๐ถ๐๐ฎ hivi, yaani kwamba kalenda yao ilitindikiwa miaka minne au sita hivi.
Kasoro hiyo waliigundua pale walipopambanisha miaka ya utawala wa Mfalme ๐๐ฒ๐ฟ๐ผ๐ฑ๐ฒ ๐ ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ฌ๐ฒ๐๐.
Waliona wameanzia kuhesabu kwenye mwaka wa ๐บ๐ฏ๐ฒ๐น๐ฒ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ wakati walitakiwa kuanzia nyuma miaka minne au sita hivi. Waligundua kwamba walipaswa kurudisha nyuma miaka ya kuzaliwa Yesu hadi ikutane na utawala wa Mfalme Herode Mkubwa. Maana yake kwa kadiri ya kalenda yao, ๐๐ฟ๐ถ๐๐๐ผ ๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฝ๐ฒ๐บ๐ฎ kuliko mwaka ule iliposemekana kwa ujumla kwamba alizaliwa.
Udadisi wao ulianzia kwenye matumizi ya jina โ๐ฎ๐๐ด๐๐๐๐๐โ linalotajwa na Luka katika 2:1-7. Kumbe, jina hilo โ๐ฎ๐๐ด๐๐๐๐๐โ lenye maana ya โ๐บ๐ต๐ฒ๐๐ต๐ถ๐บ๐ถ๐๐ฎโ kwa Kilatini, ni jina ambalo ๐๐ฎ๐ถ๐๐ ๐ข๐ฐ๐๐ฎ๐๐ถ๐๐ alijipa mnamo ๐ฎ๐ณ ๐.๐. Huyu alikuwa mtawala wa Dola ya Rumi, yaani Kaisari (Mfalme) tangu ๐ฏ๐ญ ๐.๐. mpaka ๐ญ๐ฐ ๐. ๐. Na tena, Herodi Mkubwa anayetajwa kutaka kumuua Kristo, alikufa mnamo mwaka ๐ฐ ๐.๐. Hivi kuipanga kalenda yao kwa kusema, ๐ฌ๐ฒ๐๐ ๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ญ, kwa pale walipoanzia hesabu zao, yaani ๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐บ๐ท๐ถ ๐๐ฎ ๐ฅ๐ผ๐บ๐ฎ, ilimaanisha kuzisahau tarehe hizi muhimu. ๐ช๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐ถ๐๐ฎ๐ต๐ฎ๐ ๐บ๐ถ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐บ๐ถ๐ป๐ป๐ฒ ๐ฎ๐ ๐๐ถ๐๐ฎ ๐ป๐๐๐บ๐ฎ.
๐ช๐ฎ๐น๐ถ๐ท๐ถ๐น๐ฎ๐๐บ๐ ๐ธ๐๐ฎ ๐ธ๐ผ๐๐ฎ ๐ต๐ถ๐น๐ผ kwani iliwapasa wakati ule ule kurudi nyuma kwa miaka michache, ili Yesu azaliwe kabla ๐๐ฒ๐ฟ๐ผ๐ฑ๐ฒ ๐ ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐ต๐ฎ๐ท๐ฎ๐ณ๐ฎ. La sivyo, uadui wao usingelikuwapo.
Kwa maelezo haya ya kosa walilofanya wapanga kalenda wa awali zile, mwaka huu 2022 ulipaswa uwe mwaka 2026 au 2027 au 2028. Kwa vyovyote, licha ya kuligundua kosa hilo la miaka minne au sita waliiacha kalenda yao iendelee. Na ndiyo kalenda inayoendelee hadi leo hii. Hii ndiyo kalenda iliyotupatia mwaka huu kama mwaka 2022 na hivi karibuni tutaingia mwaka 2023 badala ya mwaka 2027, 2028 au 2028. ๐ฆ๐ถ ๐ธ๐ถ๐๐, ๐๐๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฒ ๐๐.
๐ ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐ฏ๐ฎ๐๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฎ๐ธ๐ถ๐น๐ถ, ๐ฎ๐๐๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ๐ฒ ๐ธ๐๐ท๐ฒ๐ป๐ด๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐น๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐บ๐ฝ๐๐ฎ.Kama unaweza wewe kuitafsiri tarehe aliyozaliwa Yesu na kuipangia kalenda kamilifu jaribu! Lakini nadhani itakuwa kazi isiyo na tija yoyote. Zaidi ya hayo, tusahihishe kalenda leo kwa faida gani au kwa faida ya nani? Acha tuendelee tu!
๐๐ฒ, ๐บ๐ป๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฏ๐? ๐ ๐๐ถ๐๐๐ฎ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฏ๐. Basi, tangu zamani kulikuwa na ugumu wa kupata mwaka aliozaliwa Yesu, sembuse siku na saa. Lakini, pamoja na ugumu huo wa kupata mwaka, mwezi, tarehe na saa kamili alipozaliwa Yesu, ni ukweli usiopingika kwamba, Yesu alizaliwa kama mtu. Ukweli huu hautegemei kujua kwetu mwaka, mwezi, siku na saa. Ni ukweli wa milele.
INAENDELEA...๐