BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
- Thread starter
- #21
Teh teh teh!!!
Kaka yako ndio ticha wangu atiiii!
Pale ndio nimejaribu,ila hiko kiinlishi chako ndio nimechemka hahaha!
Umemuona shemeji yako mpya kwa Mtei???
hivi nani kampigia pande?...ila nina mashaka iko namna...hii inaweza ikaishia kuwa ndoto...hebu rudi kule ukaone kashfa aliotupiwa Mtei na Amy