FACT ya leo: The ORGASM of a PIG...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
The ORGASM of a PIG lasts 30 minutes!...

....najua mnatamani ingekua ivo kwenu!
 
Mumsamehe mdogo wangu ndo katoka ku cream biology ya form three ndo anakuja hapa kujaribisha kama kameza vizuri asije mix matango kwenye finale.... Big up Dr. BAGAH, tunakusubiri muhimbili university mzee, meza ili ustuaibishe kaka zako!
 
hii agriculture...sio biology...afu usitake niseme kitu kuhusu wenyeji mliopo hapo muhimbili...nipishe kabisa...nambie unanisubiria kwingine
 
Si unajua shemeji yako kiinglish f,
Naomba tafsiri ya kiswahili lol!

Alafu una habari Mtei one leo kaopoa kitu cha ukweli????
Umebaki ww tu shem wangu!!!

nitoe tafsiri.?...umenichoka humu sio?...braza anaelewa atakutafsiria jion akirudi!

Mtei huyu player mwenzangu?kaopoa nani?..au kaokota kile kitu nilichotupa?...Bi desh desh
 
Hahaha hahha,
Asa shem mpaka usiku si ntachelewa kuja kukoment!!
Tafsiri tu mbona kiinglish umeandika na haijaleta madhara!!!

Nenda kule kwenye uzi wa eric aliomuanzishia mme wangu page ya 10 na 11 utaona jins mwenzio mtei anavokula gud time na kitu kitamu tena kipya!
 
ngoja nikuPM...tehe!...nawahi zangu pg 10 na 11
 
Hahaha hahha,
Asa shem mpaka usiku si ntachelewa kuja kukoment!!
Tafsiri tu mbona kiinglish umeandika na haijaleta madhara!!!

Nenda kule kwenye uzi wa eric aliomuanzishia mme wangu page ya 10 na 11 utaona jins mwenzio mtei anavokula gud time na kitu kitamu tena kipya!

afu nimekushtukia shem...kimombo unakijua...mbona umemwandikia Rejao braza bonge la POEM...sijui hata kama kaelewa kitu pale.
 
Shemeji yangu huyu tatizo hapendi commitment.. Thats why vivy kaogopa.. Sasa anabaki ku fantasize about orgasm! Lol..

tena shemeji zangu huenda ndio chachu ya mm kutokutulia...dont ask How!...AMY...HUSNY...CANTY...NA SL!
 
afu nimekushtukia shem...kimombo unakijua...mbona umemwandikia Rejao braza bonge la POEM...sijui hata kama kaelewa kitu pale.
Teh teh teh!!!
Kaka yako ndio ticha wangu atiiii!
Pale ndio nimejaribu,ila hiko kiinlishi chako ndio nimechemka hahaha!
Umemuona shemeji yako mpya kwa Mtei???
 
Back
Top Bottom