Fact that will blow your mind!

Fact that will blow your mind!

Warren T

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
664
Reaction score
409
7215b54640442a92766da0b9637145b1.jpg
Huyu jamaa anatoka nchini Nepal na anaonyesha ubabe wa kujifunika na mamilioni ya nyuki kwa mwili wake bila hata ya mmoja kumuuma.

Surya Prasad Lamichhane, mwenye umri wa miaka 34, amekuwa akifuga nyuki kwa miaka 9 na anawachukulia kama marafiki zake wa karibu.
 
Hao ni nyuki wa mashineni!!! Wangekua wale wengine ungekuta yuko mbele za Mungu mda huu!!
 
Hawa ni nyuki wala unga, sio wale wa kutengeneza asali
 
hao si nyuki wasio na miba??
mimi sijaona kama kuna ajabu yoyote hapo
 
Mtu ukiangalia Kwa haraka haraka utahisi Kama kajipaka mavi vile..
 
Nimehisi kichefuchefu kama sio kizungungu baada ya kuitazama hiyo picha
 
Jf ni sehemu sio tu ya burudani pia kuelimishana pia...
Hapo kinachofanyika, jamaa anamchukua malkia wa nyuki na kumhifadhi sehemu yoyote katika mwili wake na nyuki wakisikia harufu ya mlkia ndo HVO wanatanda ktk mwili wote wa MTU.
 
7215b54640442a92766da0b9637145b1.jpg
Huyu jamaa anatoka nchini Nepal na anaonyesha ubabe wa kujifunika na mamilioni ya nyuki kwa mwili wake bila hata ya mmoja kumuuma.

Surya Prasad Lamichhane, mwenye umri wa miaka 34, amekuwa akifuga nyuki kwa miaka 9 na anawachukulia kama marafiki zake wa karibu.
t
Meditation can concur anything hata nyoka unawashika bila wasi wasi. Hao wanaomeditate wanafuga na kucheza na tigers bila wasi wasi. Meditate mtajua jinsi ya kushinda kila shida. Buddhism huamini kuwa life is suffering hivyo huavoid kukumbatia chochote cha dunia huishi kwenye ndoto za ndaria bila kuwaza kupata wala kukosa. Kukicha wanatembeza kikombe wakipata mlo sawa, wakikosa wanakunywa maji imetoka.
 
Back
Top Bottom