The king 07
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 1,037
- 2,404
mmh ipo siku hizo nyuki zitamgeuka huyo jamaa atajuta
Nyuki wa mashineni hao[emoji57] [emoji57]Huyu jamaa anatoka nchini Nepal na anaonyesha ubabe wa kujifunika na mamilioni ya nyuki kwa mwili wake bila hata ya mmoja kumuuma.![]()
Surya Prasad Lamichhane, mwenye umri wa miaka 34, amekuwa akifuga nyuki kwa miaka 9 na anawachukulia kama marafiki zake wa karibu.