Warren T
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 664
- 409
Surya Prasad Lamichhane, mwenye umri wa miaka 34, amekuwa akifuga nyuki kwa miaka 9 na anawachukulia kama marafiki zake wa karibu.
Hao ni nyuki wa mashineni!!! Wangekua wale wengine ungekuta yuko mbele za Mungu mda huu!!Huyu jamaa anatoka nchini Nepal na anaonyesha ubabe wa kujifunika na mamilioni ya nyuki kwa mwili wake bila hata ya mmoja kumuuma.
Surya Prasad Lamichhane, mwenye umri wa miaka 34, amekuwa akifuga nyuki kwa miaka 9 na anawachukulia kama marafiki zake wa karibu.
Hutaki kula asali?Uwiiiiii nimeogopaje? Khaaaaa
Kwani nyuki ndio asali?Hutaki kula asali?
Bila nyuki hakuna asali.Kwani nyuki ndio asali?
Ni sawa na kusema namchukia mpishi ila chakula chake nakipenda.
duh una mimba?Nimehisi kichefuchefu kama sio kizungungu baada ya kuitazama hiyo picha
duh una mimba?
Mimi jana haraka haraka nikajua matatizo hayo pichani chini:-Mtu ukiangalia Kwa haraka haraka utahisi Kama kajipaka mavi vile..