St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,201
Mkuu wa wilaya anayo taaluma ya biashara ya viwanda? Wawekezaji atawapata wapi huyo mkuu wa wilaya? Hizi amri ni sawa na baba mlevi anapomwambia mkewe watoto leo wale pilau na kuku, wakati hata hela hakuwacha na mke hajui ataipata wapi hio hela.Wakuu wa wilaya wametakiwa kusimamia na kuhakikisha vwanda vinajengwa