FACT: Tanzania ya Magufuli haina Industrial Strategy

FACT: Tanzania ya Magufuli haina Industrial Strategy

Kama ipo ileteni hapa tuone iliandikwa na nani na how ambitious is it na je inaendana na hii karne tuliyopo au bado iko kwenye zama za stone age?

Nishatafuta sana hii kitu kwenye website za wizara na serikali sijaipata

This document is harder to find than ile ya muungano wa Tanganyika na Unguja

Bado Lazima tuwe na Wataalamu wa kuunda vipuri vya viwanda.(Other wise it will be a dumping off country) vipuri vitaagizwa nje kwa fedha za kigeni km production ya kiwanda huku tuliko kinunua
imesitishwa ndiyo kiwanda kinakufa
 
Maneno ya sisa matamu....unaweza mtongoza mama mkwe akakubali eti...au sister wa kanisa
 
Unaposema haina Industrialisation Strategy una maana gani ?
Japo umefafanua lakini nadhani labda ungesema Viwanda is neither our competitive advantage nor comparative advantage.
Strategically we have both comparative and competitive advantage in agriculture.
 
ie ukihusisha labour charge, capital, operating costs, etc utakuta bidhaa tutayozalisha itatakiwa kuuzwa bei juu kuliko zile za waliotangulia
 
Wanabembeleza wafanyabiashara "malaika"wajenge viwanda.. Serikali haiwezi kujenga wala kuendesha kiwanda hata cha vijiko
 
But we have a strategy already - its called privatise everything aka UBINAFSHISHAJI and sell it to the highest bidder... Ben showed the way and John is following his lead
 
Fanzania ya Viwanda vya...
Dharau..
Mipasho....
Majivuno...
Njaa...
Uoga...
Ukanda...
Udini....
Vitisho...
Ukatili....
Maneno...
Ujanjaujanja..
Teuwa tenguwa...
Huzuri...
viwanda ni vingi tu bado vinazalishwa.
 
Sasa wewe Unataka strategy gani zaidi ya ile aliyotoa Mkulu ya kuwahimiza wa TZ wafyatue watoto wengi kwenye 'viwanda' vya kwenye kaya zao?!
Acheni dhihaka,Heshimuni mamlaka inayowaongoza
 
Kama ipo ileteni hapa tuone iliandikwa na nani na how ambitious is it na je inaendana na hii karne tuliyopo au bado iko kwenye zama za stone age?

Nishatafuta sana hii kitu kwenye website za wizara na serikali sijaipata

This document is harder to find than ile ya muungano wa Tanganyika na Unguja

Acha kuomba kupewa vitu visivyowezekana.

Ukipewa hiyo stratergy, nitaomba miguu ya nyoka na matako ya samaki. Could be my lucky day.
 
msinione kimya nilienda kupimwa mkojo

lakini nimerudi bado naisubiri hiyo IS

Unless wana CCM wanaolipwa elfu 7 humu Jamiiforyms wanaweza ku share hiyo doc
 
msinione kimya nilienda kupimwa mkojo

lakini nimerudi bado naisubiri hiyo IS

Unless wana CCM wanaolipwa elfu 7 humu Jamiiforyms wanaweza ku share hiyo doc
Bado kupimwa mate
 
Warudishe pesa zetu z mifuko ya jamiii waache siasa kwenye pesa zetu......tumechoka tunataka pesa zetu
 
Tatizo kubwa la hii serikali ya CCM ni kutokujikita kwenye vipaumbele vya maendeleo (kulingana na mipango iliyopo) hasa vile vya muda mrefu na muda wa kati (kama ilivyo FYDP2) na badala yake 'kuchomeka' miradi mikubwa ambayo haiko kwenye mipango kama 'elimu bure msingi na sekondari' na kuhamia Dodoma. Kwa namna hii hatutakwenda popote kimaendeleo!

Mbona umesahau Bombardier?
 
Kama ipo ileteni hapa tuone iliandikwa na nani na how ambitious is it na je inaendana na hii karne tuliyopo au bado iko kwenye zama za stone age?

Nishatafuta sana hii kitu kwenye website za wizara na serikali sijaipata

This document is harder to find than ile ya muungano wa Tanganyika na Unguja
HAINA STRTEGIES ZOZOTE ZAIDI YA KUFUNGA WAPINZANIA
KAMA MNASUBIRI MIKAKATI YA KUPATA KAZI , AJIRA , BIASHARA , KILIMO SUBIRINI TU AKIONDOKA
 
hawa walikuwa wanayo hiyo industrial strategy

1 Nguvu za umeme unaendana na viwanda?
2 Wawekezaji au Serikali ndio itakayojenga viwanda?
Maoni yangu sioni kama kweli kuna dalili ya kujengwa viwanda lakini ilikuwa ni njia ya kupata kura wakati wa kampeni tu. Siasa inauza maneno mazuri kuliko hata mwanaume anavyo mtongoza mwanamke.
Wakuu wa wilaya wametakiwa kusimamia na kuhakikisha vwanda vinajengwa
 
Back
Top Bottom